Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.

Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.

Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
 
Hapo ni mpaka waanze mchakato wa kuanza kusanifu na kufua umeme wa atomic na sijui itakua lini hiyo.
Nadhani pia haina tofauti sana na wale wa petroleum engineering
 
Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.

Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.

Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
Nenda kwa CDF ongea nae kama una interest na Jeshi anaweza kukusaidia kitu.
Au nenda kwa Brigadier general yeyote zungumza nae akufikishie ujumbe kwa CDF naamini unaweza kuwafaa sana.

Brigadier general social ni yule Mbuge mkuu wa JKT hana shida mtafute mueleze kama ataweza kukusaidia kwa taaluma yako ukasaidie nchi kupitia jeshi.

Haya ni mawazo yangu binafsi, sio lazima kila mtu akubaliane namimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri mkubwa sana ,kwa Tanzania kuna kigezo cha umri ili kuingia jeshini depend na elimu yako na tyr majukumu ya familia watoto wawili hapa ni kutafuta ugali tu basi watoto washibe na wasiumwe.
 
Nenda kwa CDF ongea nae kama una interest na Jeshi anaweza kukusaidia kitu.
Au nenda kwa Brigadier general yeyote zungumza nae akufikishie ujumbe kwa CDF naamini unaweza kuwafaa sana.

Brigadier general social ni yule Mbuge mkuu wa JKT hana shida mtafute mueleze kama ataweza kukusaidia kwa taaluma yako ukasaidie nchi kupitia jeshi.

Haya ni mawazo yangu binafsi, sio lazima kila mtu akubaliane namimi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ushauri mzuri sana huu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ohhh....
Kumbe unasikia tu..!!
Basi sawa, ngoja niwapishe muendelee na mjadala kwenye uziwe wenu, maana nikama nimeingilia mlango wa kutokea
Mhhh kumbe anasikia sikia tu huyo aende VETA au gereji akajifunze kuchomelea (welding) hatakosa kazi
mm ningemshauri akasomee ukondakta wa Daladala (Nkuhungu - Nanenane) ina pesa sana maana trip unagawana na Dereva na mwisho wa kazi pasu la Tajiri unapewa tena lakini kushushwa chini ni maramoja unabaki na ujuzi wa kupiga Debe ataambuli 200/ kila gari

cc Tuttyfruity
 
Ushahuri mzuri sana huu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilichek Tangazo la mwaka wa jana umri usiozidi miaka 35 ni kwa wenye PhD ,Masters ilikuwa 32 ,Bachelor 25 kama sikosei wenye kumbukumbu nzuri watanisahihisha.

Hapo kwenye swala la umri jeshi ndio linapokatisha tamaa,japo nimeona watu wanapika umri mtu miaka 33 anakamata cheti cha miaka 28 ss sijuhi huko mbele mbele kwny interview inakuwaje???
 
Usingerudi bongo...Tafuta chimbo ujikatae ukawe mtaalamu huko ughaibuni.....serikali itakuita ikifikia wakati wa wanahitaji wataalamu wa fani yako.
 
Mhhh kumbe anasikia sikia tu
huyo aende VETA au gereji akajifunze kuchomelea (welding) hatakosa kazi
mm ningemshauri akasomee ukondakta wa Daladala (Nkuhungu - Nanenane) ina pesa sana maana trip unagawana na Dereva na mwisho wa kazi pasu la Tajiri unapewa tena
lakini kushushwa chini ni maramoja unabaki na ujuzi wa kupiga Debe ataambuli 200/ kila gari
cc Tuttyfruity
Kuchomelea sio vitu vya kujifunza VETA maana nasikia watu wanakaa hostel kujifunza kozi za veta mpaka Driving mtu anakaa hostel (funny).Nilijifunza umeme wa majumbani mpk kufanya wiring nyumba nzima bila kufundishwa,nikajifunza kuchomelea bila kufundishwa,ss nataka kujifunza kutengeneza sim mwenyewe.
Nimekuwa mkorofi kwny kujifunza mpk watu hawaniamini kunikabidhi vifaa vyao ,ukipa kifaa cha umeme niishike lazima niifungue ndani,
Usingerudi bongo...Tafuta chimbo ujikatae ukawe mtaalamu huko ughaibuni.....serikali itakuita ikifikia wakati wa wanahitaji wataalamu wa fani yako.
Ukishakuwa na familia unakuwa kama umekatwa miguu boss..!!
 
Kuchomelea sio vitu vya kujifunza VETA maana nasikia watu wanakaa hostel kujifunza kozi za veta mpaka Driving mtu anakaa hostel (funny).Nilijifunza umeme wa majumbani mpk kufanya wiring nyumba nzima bila kufundishwa,nikajifunza kuchomelea bila kufundishwa,ss nataka kujifunza kutengeneza sim mwenyewe.
Nimekuwa mkorofi kwny kujifunza mpk watu hawaniamini kunikabidhi vifaa vyao ,ukipa kifaa cha umeme niishike lazima niifungue ndani,
Ukishakuwa na familia unakuwa kama umekatwa miguu boss..!!
una hatari wewe umeme wa kumfungia mtu bila ya kujua Watts, Volts, current, ampere, Gang, switch, switch socket, circut breaker, main switch lazima hiyo nyumba ingelipuka.
Kuna mahali mpaka wire ya earth inabeba moto kwenye 2way gang nk

Ngumu kumeza, Darasa ni muhimu hata kama sio VETA unafundishwa na mwenzako ukajua madhara ya kupigwa shot, madhara ya vifaa kama vitabeba watts, ikiwemo pass, jiko, redio tv heater nk
 
una hatari wewe umeme wa kumfungia mtu bila ya kujua Watts, Volts. Gang, switch, switch socket circut breaker main switch lazima hiyo nyumba ingelipuka.
Kuna mahali mpaka wire ya earth inabeba moto kwenye 2way gang nk
ngumu kumeza, Darasa ni muhimu hata km sio VETA unafundishwa na mwenzako ukajua madhara ya kupigwa shot
Shot kawaida nilishapgisha sana,ila kwa ss hakuna tatzo,hata hvyo mm mwnyw npo vzr sio wa simple simple nikiamua kukijua kitu hata ugali siri mpk nikiweze.

Muda mwngn nilikuwa najifunza kwa kuibia kwa fundi,knowldge za umumu zipo nilikuwa nakosa practicals.Km nitaenda veta ni kusomea umeme wa viwandani tu nahisi huo utakuwa complicated kidogo.
 
Mda mwngn nilikuwa najifunza kwa kuibia kwa fundi,knowldge za umumu zipo nilikuwa nakosa practicals.
Bravoo
hapo hata mm nilikojifunzia, nyuma ya mzazi na mafundi wakija nyumbani
pigwa sana shot, nimeunguza bulb za watu, lkn uthubutu mpaka nikaaminiwa mtaani na ofisi za serikali
lkn moto mdogo sio ule wa Kilovolt
 
Tutttttyyyyyyyy
Sijafika chuo. Ila naskia watu wanalalamika tu mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Fruityyyyy
2020-02-29%2020.56.01.jpeg
 
Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.

Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.

Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
Si mjaribu kuomba kazi tume ya atomic "Tanzania atomic energy commission"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom