Sekondianacletus
Member
- Jan 26, 2020
- 11
- 1
Yaan hapo kuwa graduate engineer kuwa professional siyoo rahis ufanye project za kutosha usimamiwe na watu ambao ni professional then watakuacess inachkua ata miaka 10 kuwa professional baada ya kumalza chuo au usiwe kabsaa maisha yako yote.Kumbe kusajiliwa kama professional engineer ni rahisi kuliko kusajiliwa kuwa 'Certified public accountant (T) ' ambapo ni lazima ufanye mtihani na ufaulu.