Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann mkuuBachelor of Science in Forestry, yaani mtu asijaribu hii kozi hata kidogo
Ajira zake mwaka wa pili huu hawajatoa, plus hata sehem za kujitolea mpaka uwe na connection maana kuna maokoto sana saivi hukoKwann mkuu
Asome nini ili asilipwe laki nane kwa mwezi?Upo sahihi kabisa soma kama unapenda ila usifikilie kuishi maisha bora na kupata maendeleo kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi.
Kua hakuna taasisi na mashirika ya umma waliojaa MD,kama TRA walivojaa watu WA finance........jipange upya,98% walipenda kua MD sema walifail/marks hazikutosha,wanaishia kuponda tuHivyo vitengo nilivyokutajia vimejaa Wahasibu,wataalam wa forodha,wakaguzi,wanasheria,watu wa utawala,ICT,
Hii ni miongoni mwa kozi ambazo kwa ulimwengu wa leo zina uhitaji mkubwa hakuna taasisi isiyomuhitaji mtu wa TEHAMA,Iwe private au serikaliniJapo hii kozi haikua priority yangu baada ya kukosa credit ya kwenda kusoma degree nilipohitimu form 6 ila kama niliwahi kujuta nilijuta kidogo the rest namshukuru Mungu kwa kusoma diploma ya information Technology
Ohhhh...
Minadhani tungeanza na wewe ili thread ikae vizuri.
TFS wanawaajil sana Mbona saiviBeekeeping
Course ya Uchawa, haifai hata kidogo.Hello wana JF .
Unakuta umesoma kozi ambazo either ulijikuta tu comby imebalance au kwa kua zilikua na priority ya mkopo lakini hazikua chaguo lako.
Baada ya kuhitimu ukaingia kitaa ukakuta things on the ground are not as you thought. Kozi uliosoma haina market.
Please share your experience about life after college.
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kama yanachekesha vile.
Ila mm ss hv mtu akiniuliza nimshauri chuo cha kusoma,nitamwambie haende ThT (Tanzania House of Talent).
Pale SUA sio?Bachelor of Science in Forestry, yaani mtu asijaribu hii kozi hata kidogo
Mh kwamba nyuki ???Beekeeping
Hata halmashauri want ajiriTFS wanawaajil sana Mbona saivi
Hakuna iliyobaki aseeKila course imetajwa kwenye huu uzi