Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hawa enzi za kikwete ilikuwa hot keki,,ila sasa hivi gas na mafuta exploration yake siyo kipa umbele.Petroleum Chemistry, Petroleum Geology
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa enzi za kikwete ilikuwa hot keki,,ila sasa hivi gas na mafuta exploration yake siyo kipa umbele.Petroleum Chemistry, Petroleum Geology
Nimekuelewa sana mkuu, nilipoandika yale nilikuwa na maana moja tu kuwa hawajui wanachokisema juu ya mshahara mnono ni upi? na hawajui vingi vya hao wanaojilishanganisha naoSawa mkuu, yote uliyo yaandika ni sawa kabisa.
Hapa mimi swali langu ni... unapo sema mshahara mkubwa na mnono, hapo unamaanisha ni pesa ngapi ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa si kitu kabisa, sasa we sikia awamu hii ni ya Viwanda halafu uende ukasome Industrial Engineering uone yatakayokukuta.Hawa enzi za kikwete ilikuwa hot keki,,ila sasa hivi gas na mafuta exploration yake siyo kipa umbele.
Saizi ni hot vitumbuaHawa enzi za kikwete ilikuwa hot keki,,ila sasa hivi gas na mafuta exploration yake siyo kipa umbele.
Viwanda sio kazi nyepesi.Siasa si kitu kabisa, sasa we sikia awamu hii ni ya Viwanda halafu uende ukasome Industrial Engineering uone yatakayokukuta.
Kaombe Evening wanatoa bachelorAsante mkuu! Naenda level ya digrii ya kwanza.
5/5
Chemistry nafuu ajira zipo wale TFDA wanatoa ajira nyingi kila mwaka na viwanda vingi vinatafuta watu wa Chemistry, vile vile mtu wa chemistry anaweza omba nafasi za Lab.Usirogwe kwenda kozi za bachelor of science sijui in Biology,Chemistry nk utajuta labda uwe na connection kazi hizi hazieleweki hakuna kazi za jumla ni kugumia gumia tu ukikutana nazo haziko direct kama kazi zingine
Wewe experience yako hujaweka,tuwekee plsHello wana JF .
Unakuta umesoma kozi ambazo either ulijikuta tu comby imebalance au kwa kua zilikua na priority ya mkopo lakini hazikua chaguo lako.
Baada ya kuhitimu ukaingia kitaa ukakuta things on the ground are not as you thought. Kozi uliosoma haina market.
Please share your experience about life after college.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadae inakuja kuwa ya Kilimo kwanza hiyo ya awamu ya sita.Siasa si kitu kabisa, sasa we sikia awamu hii ni ya Viwanda halafu uende ukasome Industrial Engineering uone yatakayokukuta.
Na tatizo haswa eti...Baadae inakuja kuwa ya Kilimo kwanza hiyo ya awamu ya sita.
Kuna nchi niliishi hapa Africa nikakuta wana mtaara unaotoa "Bachelor of Science in Witchcraft "yaani mambo ya uganga na uchawi na ukienda hospital zao kuna hicho kitengo kama ugonjwa umeshindkana hospital kuna wodi ya walirogwa .
Ushawai kuwaza kitu kama hicho kipo duniani??
Serikali ingebidi iongeze huu mtaara kama vp wafute baadhi ya kozi waongeze hii itakuwa na soko sana mtu anaweza hata kujiajiri kirahisi.
Ungesoma Environmental Science au Environmental Engineering.Kafanye masters ya Environmental Health pale Muhimbili kama vipi..!!
Au Fanya short kozi za NOSCH inatolewa na OSHA mwezi huu inaanza kwa DSM ada Tsh 560,000/= kama sijakosea ,IOSH,na NEBOSH (igc) ukimaliza hizo coz NEMC watakuita wenyewe bila kutuma CV. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kweli kabisa, maana anayekuja na hiyo sera, hana kiwanda hata kimoja.Viwanda sio kazi nyepesi.
Tunakimbizwa spidi kubwa sana, maana tunatoka kwenye kilimo hatujakaa vizuri, mara gesi na mafuta, hatujakaa vizuri viwanda, sijui next itakuwa ni nini ?Baadae inakuja kuwa ya Kilimo kwanza hiyo ya awamu ya sita.
Ukishasoma kozi yoyote ya Environmental ..
Inaenda kuwa mbovu fikiria wahitimu na idadi ya hospital zenye uitaji wa watu Hawa je Kuna hospital ya serikali itaajiri Biomedical zaidi ya nne jibu ni hàpana maximum ni wawili au watu tu je Hawa wengine watafanya kazi wapi
jinsi ID yako ilivyo, inaendana na ulichokiandikaNi kweli, TCU sio wajinga wapitishe kozi af isiwe na maslahi kwa wataoisoma!?. Mi naona kozi zote zina tija na itategemea na wewe mwenyewe ulieisoma io kozi utavo pursue changamoto na ku win.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.
Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.
Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mimi na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .