Mileage
JF-Expert Member
- Feb 27, 2020
- 371
- 522
Hii course inatolewa wapi huko niende nikapate hayo maarifa ?Kuna nchi niliishi hapa Africa nikakuta wana mtaara unaotoa "Bachelor of Science in Witchcraft "yaani mambo ya uganga na uchawi na ukienda hospital zao kuna hicho kitengo kama ugonjwa umeshindkana hospital kuna wodi ya waliorogwa .
Ushawai kuwaza kitu kama hicho kipo duniani??
Serikali ingebidi iongeze huu mtaara kama vp wafute baadhi ya kozi waongeze hii itakuwa na soko sana mtu anaweza hata kujiajiri kirahisi.