Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Kuna nchi niliishi hapa Africa nikakuta wana mtaara unaotoa "Bachelor of Science in Witchcraft "yaani mambo ya uganga na uchawi na ukienda hospital zao kuna hicho kitengo kama ugonjwa umeshindkana hospital kuna wodi ya waliorogwa .

Ushawai kuwaza kitu kama hicho kipo duniani??
Serikali ingebidi iongeze huu mtaara kama vp wafute baadhi ya kozi waongeze hii itakuwa na soko sana mtu anaweza hata kujiajiri kirahisi.
Bilayashaka hio nchi ipo Afrika Yamagharibi Nanaotea Kama Sio Cameroon Basi Ni Nigeria [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wasl science
BSc in Chemistry ni nzuri sana, uzuri wake zaidi ni uelewe vyema ulichokisoma. Hukosi kazi ya maana, TFDA, TBS, NIMRI, TPBA, Mkemia mkuu, Viwandani, kwenye Kilimo, n.k, yaani hii ni kata funua kona zote. Muhimu uelewe tu zile course vyema.

BSc Education, hii hufi njaa labda uwe mzembe wa kutupwa.

BSc Pharmacy, hii ni zaidi ya MD INA uwanja mpana wa kujiajiri.

Zilizobaki ni majaliwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani sana kwa ufafanuzi..
Waajiri wa kampuni zenye tamaduni za kizungu wanataka mtu awe na cheti cha IOSH Managing Safely,NEBOSH(igc) au SAMTRAC mfano watu kama Yapi,Simba Cement,Barrick n.k .
Waajiri wa ndani wanataka huwe na NOSCH hivyo ni vyeti au kozi nani anazitoa doesn't matter mradi hawe accredited ku offer hiyo kozi.

Tafuta matangazo ya kazi za environmental utaona waajiri wameweka hivyo vyeti kama vigezo.
ESAMI sio cheti ni taasisi kama wanazo hzo kozi nenda kasome isipokuwa NOSCH pekee ndio inaatolewa ma serikali kupitia watu wa OSHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila accounting ukiotea pande pazuri umetoka! Hamna kitu najutia kama kutosoma uhasibu, sidhani kama ningekuwa uraiani mpaka leo.
Plan ni kutafuta hata ka Postgraduate diploma kake baadae.
Hachana na mambo ya postgrad tafuta CPA(T) au ACCA anza na foundation courses mdogo mdogo kuna jamaa ni engineer alipomaliza chuo ile 2006 nikamuona anakula kula hvyo vitu nilimshangaa sana ila miaka imepita ss yupo kampuni la kimataifa la Price Waterhouse Coopers (PwC) ,Toronto Canada juzi walienda kulikagua Shirikisho la Soka Africa naye akiwemo.
Noma sana. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Daah..kuna bro wangu alipiga hiyo kozi..miaka mitano yupo kitaa..ila alikuja kbahatisha kazi za uafisa tarafa ndo anakomaa na maisha
Kuna mwanangu kasoma Bachelor of Arts in geography and environmental studies Udsm alijua atapata shavu NEMC had saiv yupo anapambana 2 kitaaa hamda direction yoyote.nomasana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kozi karibu zote za social science (angalau advocates kidogo) ni chenga na za Biashara (angalau CPA s)
Kozi nzuri ni hizi
Za afya zote
Uhandisi wote
Land savey, wasanifu majengo,

Veternary
Hakunaga kozi inaitwa Advocates . pia usikaririshwe maisha. Watu tumepiga art pure tangu o level mpaka chuo ,imetutoa maisha saana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah..kuna bro wangu alipiga hiyo kozi..miaka mitano yupo kitaa..ila alikuja kbahatisha kazi za uafisa tarafa ndo anakomaa na maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atatoboa tu ni ishu ya muda tu angekuwepo Jf ningempa hata kaushauri ,kangemsaidia kukamata fursa fasta maana tatizo lake ni dogo sana km nilivyoeleza kuna kozi inabd azi complish ili ajiweke kwny market levels.
 
Hizo zote sahv graduates ni wengi..ajira chache..kuna jamaa yupo analima matikiti na ni graduate wa bsc.pham.
Kwa wale wasl science
BSc in Chemistry ni nzuri sana, uzuri wake zaidi ni uelewe vyema ulichokisoma. Hukosi kazi ya maana, TFDA, TBS, NIMRI, TPBA, Mkemia mkuu, Viwandani, kwenye Kilimo, n.k, yaani hii ni kata funua kona zote. Muhimu uelewe tu zile course vyema.

BSc Education, hii hufi njaa labda uwe mzembe wa kutupwa.

BSc Pharmacy, hii ni zaidi ya MD INA uwanja mpana wa kujiajiri.

Zilizobaki ni majaliwa.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Konnection mkuu..ndo uchawi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hachana na mambo ya postgrad tafuta CPA(T) au ACCA anza na foundation courses mdogo mdogo kuna jamaa ni engineer alipomaliza chuo ile 2006 nikamuona anakula kula hvyo vitu nilimshangaa sana ila miaka imepita ss yupo kampuni la kimataifa la Price Water Cooper (PwC) ,Toronto Canada juzi walienda kulikagua Shirikisho la Soka Africa naye akiwemo.
Noma sana. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wasl science
BSc in Chemistry ni nzuri sana, uzuri wake zaidi ni uelewe vyema ulichokisoma. Hukosi kazi ya maana, TFDA, TBS, NIMRI, TPBA, Mkemia mkuu, Viwandani, kwenye Kilimo, n.k, yaani hii ni kata funua kona zote. Muhimu uelewe tu zile course vyema.

BSc Education, hii hufi njaa labda uwe mzembe wa kutupwa.

BSc Pharmacy, hii ni zaidi ya MD INA uwanja mpana wa kujiajiri.

Zilizobaki ni majaliwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona kuna taasisi watu wengi hawaijui inaitwa TFNC yaani Tanzania Food an Nutrition Center yaani Taasisi ya Chakula na Lishe .Nayo iongezee hapo.
 
Mm naona taasisi nyingi mpaka upate ajira humo labda uwe una connection au ni mtazamo wangu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujanja ni kutafuta danga linalofny kwny kampuni hiyo, kwa wanaume ni kutafuta baby mama tu la taasisi hyo ,no way out maana hata connection siku hz hazifanyi kazi ( utani tu jamani). 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hivi nikisema hapa Jf waanga wote wa ajira vigezo sharti huwe umekaa miaka isiyopungua 3 mtaani bila kazi.
Waanga 50 tuunganike tufungue kampuni ya Education Consultant .
Tunakuwa tunashauri wanafunzi kozi za kusoma,njia za kufanya ili wafauru,tunawafanyia application za shule , chuo,vile vile tuna act km parents au walezi wao kwa ku wacanceling ,kufuatia maendeleo yao shuleni na kuwapga tuitions.

vigezo

1.Unatakiwa huwe angalau na Bachelor degree
2.Mwnye miaka mingi kitaani anapewa kipaumbele


Wangapi watajitokeza???? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 (utani tu jamaani) huu ni upepo tu unapita jamani ila naamini kila mtu humu atapa ajira mda si mrefu.
 
Mzee yani kama wewe ni msomi wa hio fani na hata hujui market ya proffession yako basi wewe ni tatizo kubwa kuliko
Sijasomea hizo kozi ila wahitimu wa hizo kozi wanalilia kila mwaka mtandaoni wanaandika hadi mashairi, na kiukweli kazi zake mtandaoni zikitangazwa huwa hazizidi 4 kwa mwaka mzima.
 
Back
Top Bottom