Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

wale wa Tourism Management, Wildlife Management, Nature conservation, Forest mbona siwaoni kulia lia
Wapo zenji huku wanipiga hela chafu mkuu. Maisha hayana formula. I know a girl who was working as a house keeper in a hotel and then got in a relationship na mzungu, kaolewa official marriage sasa hivi ni boss wa hotel hiyo wacha kabisa
 
Kuna nchi niliishi hapa Africa nikakuta wana mtaara unaotoa "Bachelor of Science in Witchcraft "yaani mambo ya uganga na uchawi na ukienda hospital zao kuna hicho kitengo kama ugonjwa umeshindkana hospital kuna wodi ya waliorogwa .

Ushawai kuwaza kitu kama hicho kipo duniani??
Serikali ingebidi iongeze huu mtaara kama vp wafute baadhi ya kozi waongeze hii itakuwa na soko sana mtu anaweza hata kujiajiri kirahisi.
cc: Mshana Jr
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] kama yanachekesha vile.
Ila mm ss hv mtu akiniuliza nimshauri chuo cha kusoma,nitamwambie haende ThT (Tanzania House of Talent).
Madogo saivi wakiniomba ushauri nawaambia watafute skill ( ushonaji, baking, design, decorating etc) ila maswala ya vyeti simshauri mtoto wa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madogo saivi wakiniomba ushauri nawaambia watafute skill ( ushonaji, baking, design, decorating etc) ila maswala ya vyeti simshauri mtoto wa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimshauri kuhusu vyeti utamlaza na njaa bure,mm mwenyewe nataka ni test bongo movie na masters yng,ikikataa naamia kwny bongo fleva nayo ikigoma naenda kwny ujumbe wa nyumba kumi.
 
Kingwa si kasema siasa kwake ni fursa. Inabidi vijana tujiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa nayo inachangamoto,mtaa ninaoishi cheo cha ujumbe wa nyumba kumi mzee mmoja kakishikilia miaka 30 mpk ss yy ndio mjumbe wa nyumba kumi watu wanamuogopa duuuh akipumzika anampa mwanawe harafu anakichukua anampa mkewe harafu anakichuku tena..
 
Hakunaga kozi inaitwa Advocates . pia usikaririshwe maisha. Watu tumepiga art pure tangu o level mpaka chuo ,imetutoa maisha saana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwny kozi za uhandisi ni
1.Electrical Engineer
2.Mechanical Engineer
3.Civil Engineer
4.Chemical Processing Engineer
5.Environmental Engineer
Hizo ndio zenye soko na nimezipanga kutokana na uhitaji wake katika soko la ajira zingine zote ushuzi tu....
 
Kabla sijafa nataka nisome master nyngn ya Nano Technology Engineering,hii kozi bongo hakuna kabisa na wala hakuna mtaaram wa hii kitu kwa ss labda miaka 100 ijayo.

Nano engineers hawa ndio wale wanaotengeneza biological and chemical weapons,bullet proof na kuna kitu inaitwa nano medicine hii ni balaa tupu hapa unakutana na nano robots ambazo utumwa kwny mwili wa binadamu kuzi repair cell zilizokufa hz robots zinafny kazi km antibodies.

Shule tamu sana ndio maana wasomi wng masikini kwa utamu wa shule. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom