Microfinance wale kwa uelewa wangu hawana tofauti saaana na watu wa finance hapo unalazimika kujua Financial Management Tools (eg Excel,Power Point,Quick Book,SAP, BR net,Tally etc).
Kama unataka kufanya kazi kwny ma bank kachukue Banking Certificate I &II then kuna kitu inaitwa Certified Proffessional Banker (CPB).
Kama unataka kujiweka kwny nafasi nzuri ya ajira nenda kagonge MBA ,CPA(T) au ACCA.
Umeshindwa kabisa kasome hata ka Certificate cha sheria bila shaka ni mwaka mmoja,maana kuna kazi za Microfinance zinahitaji mtu mwny ujuzi wa sheria maana kudeal na wadaiwa legal matters zinahusika,mtu ambaye ni mdaiwa sugu (Bad Debtor) mahakama inamuhusu.