Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Mkuu nina shida na bomu nakupataje?
Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.

Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.

Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishaacha kufikilia kuajiriwa kabisa baada ya kukaa sana mtaani ,ss nawaza kuendesha biashara binafsi na kuingia katika siasa ,ajira haina pesa ninayoitaka.

Nimeona Siasa ni fursa natafuta mtaji nigombee ubunge au udiwani wa CCM ila kuongea sijuhi watanisamehe nitaajiri mtu wa PR kuniandalia speech.
Hahahaha
Mmoja wapo ni huyo aliyekuuliza swali,akutafute muyapange
 
hata kama ni atomic engineering ww umejuaje kama mpo wawili ina maana unajuana na wasomi wote wa Tanzania tangu mwaka 1940?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishamaliza chuo unajisajili na Board ya wahandisi (ERB) wanaweka kumbukumbu zao kwamba Tanzania tuna ma engineer wangapi na wa level gani inafahamika.
 
una hatari wewe umeme wa kumfungia mtu bila ya kujua Watts, Volts, current, ampere, Gang, switch, switch socket, circut breaker, main switch lazima hiyo nyumba ingelipuka.
Kuna mahali mpaka wire ya earth inabeba moto kwenye 2way gang nk
ngumu kumeza, Darasa ni muhimu hata km sio VETA unafundishwa na mwenzako ukajua madhara ya kupigwa shot, madhara ya vifaa km vitabeba watts, ikiwemo pass, jiko, redio tv heater nk
Atakuwa alikuwa anatembea na fundi huyo ndipo alipojifunzia asitudanganye alijifunza mwenyewe something fishy 😏
 
BsC. In Cyber security, its marketable ila kwa bongo haipo labda nchi jirani (Kenya)


Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ulimwengu wa Cyber Security bado hatujafika boss ndio kwanza tunajikongoja maswala ya data protection,computer frauds,spams,cyber crimes,cyber attack ndio tumeanza kuyatungia sheria miaka ya hivi karibuni baada ya mheshimiwa rais kuuona umuhimu wake ,ndio maana bado serikali inasisitiza kusajili kwa Alama za vidole,wakati nchi nyngn utaratibu huo ulishazoeleka.

Ukisoma hiyo kozi kwa level ya degree utakuwa wa kwanza au was pili wengi wanafanya mastering ,nenda kasome TCRA watakuita wenyewe.
 
Back
Top Bottom