Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Hili swala ndo linapoteza vijana wengi, tatizo wengi hawaelewi wanayojifunza akiitwa interview anapepesa macho.

Kama ukiwa vizuri hakika kazi yoyote unaipata bila hizo connection unazofikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Agreed.
Ila inabidi uwe vizuri kweli kweli. Binafsi nimeandika threads kama mbili hivi humu ndani kuelezea safari yangu ya kupata kazi, experience yangu ya interviews na ushauri wangu. Sijawahi kupata kazi kwa connection hata mara moja. Nimefanya interviews nyingi sana, kati ya hizo nimekosa nyingi na nimepata nyingi pia..... Cha muhimu zaidi, nimejifunza mambo mengi sana.
Ukitaka kufahamu zaidi fungua thread yangu hapa chini.....

The story of my interview failures and lessons learnt
 
Atakuwa alikuwa anatembea na fundi huyo ndipo alipojifunzia asitudanganye alijifunza mwenyewe something fishy 😏
Mhandisi lazima afanye workshop ya umeme mwaka wa kwanza ,na kuna kozi nyingi za electrical engineering unasoma .Ukirudi mtaani inabd ufanye refresh kwa kuanza kufumua wiring na kuzifuma tena na practical kidogo maana vyuoni mambo mengi mda mchache.
 
Na wasiokwenda kujisajili unawajuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao hawatambuliki kisheria,na wasiojisajili wengi ni wale Graduate Engineers waliomaliza vyuo ,maana kuna ada unalipia kujisajili kwenye board ss unakuta MTU kamaliza chuo hata buku hana hapo utashindwa hata kujisajili kwa kweli kwa kigezo cha kukosa ada au nauli.
 
Hiyo system imeanza siku hizi,now days hata nafasi ya dip unatoswa kama ww una bachelor yaani noma sana.
Ila hapo nimeongea kwa kampuni ambazo si za serikali unaomba wao wanaangalia skills tu.
Ni kweli kabisa kwa serikalini ni mtihani sana aisee,ya ni ukitofautiana kidogo tu na maelezo ya kazi system inakutema faster sana,sijui wamefanya maksudi ili kuwatema watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishamaliza chuo unajisajili na Board ya wahandisi (ERB) wanaweka kumbukumbu zao kwamba Tanzania tuna ma engineer wangapi na wa level gani inafahamika.
Kumbe kusajiliwa kama professional engineer ni rahisi kuliko kusajiliwa kuwa 'Certified public accountant (T) ' ambapo ni lazima ufanye mtihani na ufaulu.
 
Mkuu nikurudie

Kwenye CPA,
Level najua zipo tatu
Ili uwe compitent CPA horder ni lazima umalize level zote,mfano umeanza na foundation,ukishapata cheti cha foundation ,ni lazima pia umalize intermediate stage?au hata certifate ya foundation unaweza pata ajira tu kama cpa holder?
Au inakuaje hapo kiongz kama ushafatilia hizi proffessiona certificateza uhasibu zilivyo
Huo ulimwengu wa Cyber Security bado hatujafika boss ndio kwanza tunajikongoja maswala ya data protection,computer frauds,spams,cyber crimes,cyber attack ndio tumeanza kuyatungia sheria miaka ya hivi karibuni baada ya mheshimiwa rais kuuona umuhimu wake ,ndio maana bado serikali inasisitiza kusajili kwa Alama za vidole,wakati nchi nyngn utaratibu huo ulishazoeleka.

Ukisoma hiyo kozi kwa level ya degree utakuwa wa kwanza au was pili wengi wanafanya mastering ,nenda kasome TCRA watakuita wenyewe.

Sent using Iphone 11 pro
 
Kumbe kusajiliwa kama professional engineer ni rahisi kuliko kusajiliwa kuwa 'Certified public accountant (T) ' ambapo ni lazima ufanye mtihani na ufaulu.
Graduate Engineer ndio rahisi kuwa Professional ni mziki mwngn lazima upate kwanza kazi , internship au SEAP program upate supervisor harafu kuna report za kuandika na kutuma mpaka uwashawishi wazee wanoko wakupe PE maana wao fahari yao ni kuona wapo wachache,maana enzi za FOE pale UDSM kuna professor alikuwa anasema ma professor TZ nzima wapo wawili tu yeye na mshikaje wake Mwandosya ,maPro wenzako walikuwa wanachukia kauli hiyo 😀 😀 🤣 😀 🤣 😀 🤣
 
Mkuu nikurudie

Kwenye CPA,
Level najua zipo tatu
Ili uwe compitent CPA horder ni lazima umalize level zote,mfano umeanza na foundation,ukishapata cheti cha foundation ,ni lazima pia umalize intermediate stage?au hata certifate ya foundation unaweza pata ajira tu kama cpa holder?
Au inakuaje hapo kiongz kama ushafatilia hizi proffessiona certificateza uhasibu zilivyo

Sent using Iphone 11 pro
Kuna Uzi hapa Jf wa mambo ya CPA ,bei zake,tuition,ada na makolokolo yote utafute uupitie maana nikianza kuandika Habari za CPA na ACCA nitaitaji kuanzisha Uzi mwngn.
 
social science zote chenga
biashara labda accounting ingawa nao wako wengi balaa.
science zote zinalipa.
Accounting fursa zinapungua kutokana na accounting apps ambazo zinamwezesha layman kabisa kufanya double entry accounts ya biashara yake.
 
Hukunijibu swali langu..la professional courses kwa mtu wa Environmental health Sciences.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lishajibiwa tyr ,nimemjibu yule jamaa wa Environmental Law,wote mnashare hizo kozi IOSH,NOSCH,NEBOSH (igc),SAMTRAC isipokuwa wa Environmenta law anatakiwa kuzisoma sana zile ISO (International Standard Organisations) .
ISO kozi zinatolewa na SGS (UK ) mfano wa ISO kozi ni
ISO 14001:2004/15 Environmental Management Systems Auditor/Lead Auditor

Hapo kwny NEBOSH kuna international general Certificate (igc) wapenda sifa wanasoma mpk diploma ya NEBOSH.

Kuna SGS Tanzania cheki nao kwa kozi za ISO zinazoendana na malengo yako.
(Nimeongezea mondo za ISO hapo),hizo short kozi yeyote anasoma hata Form four anaanza na IOSH Managing Safely inakupa vigezo vya kusoma kozi nyngnezo.
 
Lishajibiwa tyr ,nimemjibu yule jamaa wa Environmental Law,wote mnashare hizo kozi IOSH,NOSCH,NEBOSH (igc),SAMTRAC isipokuwa wa Environmenta law anatakiwa kuzisoma sana zile ISO (International Standard Organisations) .
ISO kozi zinatolewa na SGS (UK ) mfano wa ISO kozi ni
ISO 14001:2004/15 Environmental Management Systems Auditor/Lead Auditor

Hapo kwny NEBOSH kuna international general Certificate (igc) wapenda sifa wanasoma mpk diploma ya NEBOSH.

Kuna SGS Tanzania cheki nao kwa kozi za ISO zinazoendana na malengo yako.
(Nimeongezea mondo za ISO hapo),hizo short kozi yeyote anasoma hats Form four anaanza na IOSH Managing Safely inakupa vigezo vya kusoma kozi nyngnezo.
Mkuu seems like unajua mambo mengi sana kwenye sector ya elimu. Naomba nkutumie PM kuna Issue flani kama unafahamu unisaidie kunipa muongozo please.
 
Back
Top Bottom