Hivi nikisema hapa Jf waanga wote wa ajira vigezo sharti huwe umekaa miaka isiyopungua 3 mtaani bila kazi.
Waanga 50 tuunganike tufungue kampuni ya Education Consultant .
Tunakuwa tunashauri wanafunzi kozi za kusoma,njia za kufanya ili wafauru,tunawafanyia application za shule , chuo,vile vile tuna act km parents au walezi wao kwa ku wacanceling ,kufuatia maendeleo yao shuleni na kuwapga tuitions.
vigezo
1.Unatakiwa huwe angalau na Bachelor degree
2.Mwnye miaka mingi kitaani anapewa kipaumbele
Wangapi watajitokeza???? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] (utani tu jamaani) huu ni upepo tu unapita jamani ila naamini kila mtu humu atapa ajira mda si mrefu.