Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Mkuu ukiona kazi zinatangazwa nne usifikiri kwamba hilo eneo halilipi hapana linalipa sana sema watu hawajajua hizo kazi zinapatikana wapi.Ukiwa na utaalam kama huo unaweza kufanya kazi kwenye hata makampuni local yanayohusika na mafuta na gas,unachotakiwa tu na kujiongezea ujuzi wa ziada.Sijasomea hizo kozi ila wahitimu wa hizo kozi wanalilia kila mwaka mtandaoni wanaandika hadi mashairi, na kiukweli kazi zake mtandaoni zikitangazwa huwa hazizidi 4 kwa mwaka mzima.
Sio lazima ukisoma GEOLOGY uwe mchimba madini.Unaweza kuwa mtafiti(Free lance)Unaweza kuwa Broker,unaweza kuwa mshauri(consultant) unaweza kuwa anything kwenye sekta ya madini mradi uwe na utayari na uelewa.Iwapo unahitaji ushauri wa namna ya kubadili eneo lako la usomi kuwa fursa basi tuwasiliane kwa email au pm.Maisha ni kupambana