Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Sijafika chuo. Ila naskia watu wanalalamika tu mtaaniOhhhh...
Minadhani tungeanza na wewe ili thread ikae vizuri.
Ohhh....
Nafikiria kusoma hii.Medicine doctor. Kozi gumu miaka Sita shule halafu mshahara mdogo kuliko hata aliesoma kozi ya miaka mitatu huku akila bata chuoni.
Sishauri Kabisa mtu asome kozi hii
Samahani mkuu...Medicine doctor. Kozi gumu miaka Sita shule halafu mshahara mdogo kuliko hata aliesoma kozi ya miaka mitatu huku akila bata chuoni.
Sishauri Kabisa mtu asome kozi hii
Mshahara wa MD wa halmashauri ni Mara 2 ya mshahara wa Afisa Maendeleo ya jamii wa halmashauriSamahani mkuu...
Unaposema mshahara mkubwa unamaanisha shngapi, na mshahara mdogo ni pesa ngapi..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha dharau na kozi za watu.Medicine doctor. Kozi gumu miaka Sita shule halafu mshahara mdogo kuliko hata aliesoma kozi ya miaka mitatu huku akila bata chuoni.
Sishauri Kabisa mtu asome kozi hii
[emoji28]Kumbe hujafika chuo bac acha ushabwada kudandia fani za watu, kozi zote zinazotolewa na tcu zina fursa kubwa ya ajira hapa nchini na duniani kwa ujumla naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wimbi la kozi huko mavyuoni demand yake kwenye soko la ajira imekuwa chache sana kuanzia kwenye social mpaka natural science siku hizi haina deal mtaanisocial science zote chenga
biashara labda accounting ingawa nao wako wengi balaa.
science zote zinalipa.
Mtoa Mada hajielewi.Kumbe hujafika chuo bac acha ushabwada kudandia fani za watu, kozi zote zinazotolewa na tcu zina fursa kubwa ya ajira hapa nchini na duniani kwa ujumla naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Story tu hizo. Tunatumia fake ID ... i might be lying now, i might have lied then. Beauty of it all you'll never know for certain [emoji23][emoji23][emoji23]
Angalau kidogo Kwa CPAsocial science zote chenga
biashara labda accounting ingawa nao wako wengi balaa.
science zote zinalipa.
Tuelezee ubora wa kozi ya data management.kuna makozi mengi tu hapa mjini hayana maisha mojawapo ni hili nililosoma, Data Management ni course bora kabisa
Kumbe hujafika chuo bac acha ushabwada kudandia fani za watu, kozi zote zinazotolewa na tcu zina fursa kubwa ya ajira hapa nchini na duniani kwa ujumla naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app