Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Upo sahihi kabisa soma kama unapenda ila usifikilie kuishi maisha bora na kupata maendeleo kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi.
 
Medicine doctor. Kozi gumu miaka Sita shule halafu mshahara mdogo kuliko hata aliesoma kozi ya miaka mitatu huku akila bata chuoni.

Sishauri Kabisa mtu asome kozi hii
Upo sahihi kabisa soma kama unapenda ila usifikilie kuishi maisha bora na kupata maendeleo kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi.
 
Na vipi MD akienda kupiga master kama huyo wa education mwenye 3.8 GPA?
yaani unafananisha MD, anayelipwa mara 2 ya mwalimu?
Halafu sio miaka 6,maana hio intern tu MD analipwa mara 2 ya salary ya officers wengi tu wa government.
Wengi waliokosa na kufail MD, ndio huenda kozi zingine.
Jipange upya mkuu
 
Mtu mwenye M.D anazidiwa na mtu mwenye diploma aliyeajiriwa TRA ,EWURA,LATRA,
 
Mtu mwenye M.D anazidiwa na mtu mwenye diploma aliyeajiriwa TRA ,EWURA,LATRA,
Vipi MD yeye hawezi ajiriwa TRA, EWURA, LATRA, MSD, NSSF, WCF, OSHA
[emoji38][emoji38].
When it come to academic...

MD ni fully package
 
You are great thinker.
Mechanical,Electrical and Civil engineering are evergreen proffession.
Wasipokuelewa hapa basi tena.
 
Japo sina ajira kwa sasa ila sijawahi kujutia kusoma 'Bachelor of Rural development'.
Kwenye kozi zote wewe ndio umeingia chaka sana.
Maana hilo jina la kozi automatically kazi za mijini hazikufai zimeshakuchuja.
Baada ya hapo tunaanza kuchuja tena mipango ya kijijini ni ya serikali ukikosa ajira serikalini imekula kwako.
 
Kaz unayo tayar bro tengeneza bomu kipind hichi siku ya kura unaliset sehem alaf una demand kaz unatoa deadline..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Haya mambo ya huko mambele labda akajiunge na boko haram au Alshabab
 
ooh sawa hapo nimekupata.
Cha msingi ukisomea ile fani usiwe na haraka nayo.
Unajiongeza kuomba kazi zingine hata za sales & marketing,account assistant.
Tatizo ni connection mkuu. Watu wake wamekuwa wengi ikiwemo mimi ..ivyo ni mwendo wa kujiongeza tu na mishe zingine
 
Nilichosoma na ninachofanya ni mbingu na ardhi. Nilichosomea(uhasibu) nimepractice kidogo sikuupenda, nikaona ni ujinga sbb havinipi chance ya kua creative na mimi napenda ubunifu, nikapiga chini, sasa nagonga ishu za kibabe building construction na mechanical engineering hapa natengeneza vimitambo vidogo vidogo. My long term plan ntaachana na building construction na kupeleka nguvu zoooote kwenye kubuni na kutengeneza mitambo skills nazotaka kuwalithisha wanangu haswa wasomee agro mechanics. It's my sincere belief that TZ and africa at large needs to invest much more in agro economics but we are very much failing bcoz of lack of proper knowledge in almost everything. Leo hii kitaalamu tunaambiwa eka moja ya mahindi inatoa atleast 35bags but let's be honest nani anapata 35bags? But wakati sisi tunastruggle kupata hata gunia 15 tu za mahindi jirani yako mzungu anagonga gunia 40+ Tatizo ni nini? Kwangu mimi tatizo ni kukosa elimu bora na si mtaji kama wengi tunavyodhani na naweza kuitetea hoja yangu! Karibuni.
 
Anatudanganya tuliosoma umeme miaka 6 mfululizo + field work over 10yrs kwa upande wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…