Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Course hazilipi Ila MTU ndo huwa analipa Sam Sisali ni mtangazaji mkubwa clouds Ila kasoma HR

Life is about to spark the place to be
 
Hivyo vitengo nilivyokutajia vimejaa Wahasibu,wataalam wa forodha,wakaguzi,wanasheria,watu wa utawala,ICT,
Kua hakuna taasisi na mashirika ya umma waliojaa MD,kama TRA walivojaa watu WA finance........jipange upya,98% walipenda kua MD sema walifail/marks hazikutosha,wanaishia kuponda tu
 
Japo hii kozi haikua priority yangu baada ya kukosa credit ya kwenda kusoma degree nilipohitimu form 6 ila kama niliwahi kujuta nilijuta kidogo the rest namshukuru Mungu kwa kusoma diploma ya information Technology
 
Hii ni miongoni mwa kozi ambazo kwa ulimwengu wa leo zina uhitaji mkubwa hakuna taasisi isiyomuhitaji mtu wa TEHAMA,Iwe private au serikalini
 
Course ya Uchawa, haifai hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…