Kozi ipi ya kusoma kati ya hizi Tafadhali

Bando la wiki

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2023
Posts
911
Reaction score
3,017
Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.

1. Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.

2. Ya pili MS in Finance and Economics.

3. Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.

4. MS in International Business Finance and Economics.

Ipi kati ya hizo nichague kwa mstakabali wa mbeleni.
 
Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.
Ya pili MS in Finance and Economics.
Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.
MS in International Business Finance and Economics.

Ipi kati ya hizo nichague kwa mstakabali wa mbele
Ngumu kushauriwa wakati hatujui chochote kuhusu wewe.
1.Undergraduate umesoma kozi gani?
2.Kwa sasa unafanya kazi ya aina gani (title yako, ni private, public, au NGO?)na majukumu yako ya kila siku in summary (2 sentences) ni yapi?
3.Ndoto yako career wise ni ipi?
4.Moyo wako unapenda nini haswa kati ya hayo?
5.Lengo lako la kusoma Masters ni ili iweje?
6.Hizo admission ulizopata ni kutoka vyuo gani?
 
Undergraduate nilisomea kozi ya ualimu kwa masomo ya Uchumi na Uhasibu kwa sasa Mwalimu wa sekondari kwa somo la uchumi.
Ndoto yangu ni kuwa mtaalamu katika Uchumi
 
Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.
Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.
Ya pili MS in Finance and Economics.
Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.
MS in International Business Finance and Economics.

Ipi kati ya hizo nichague kwa mstakabali wa mbele
Wewe hamu yako ni nini?
Tuanzie hapo
 
Undergraduate nilisomea kozi ya ualimu kwa masomo ya Uchumu na Uasibu kwa sasa Mwalimu wa sekondari kwa somo la uchumi.
Ndoto yangu ni kuwa mtaalamu katika Uchumi
Hiyo kozi ya ualimu inaitwaje? huwezi ukawa mbobevu wa uchumi wakagi wewe ni mwalimu. Hata hiyo masters haitakua na tija kwa muundo wako wa ualimu.
Heri ungekua na Degree ya uchumi ama accounts ambayo ni pure
 
Ubobevu wa uchumi upi unazungumzia kama mimi mtu wa BAED nimesoma na watu wa BAEC vitu vyao vyote walivyosoma. Halafu chuo na cha nje kwa hiyo wao hawakuona huo ubobevu. Halafu sio kwamba ukiwa mwalimu unazuiwa kusoma fani nyingine au kupata ajira kwenye nyanja nyingine.
 
Sikiliza mwalimu wa uchumi, kama unaweza kupata ajira nyingine kwa hiyo degree yako ya masomo ya uchumi jaribu tu kwenda idara ya fedha na mipango hapo halmashauri ukafanye kazi. Kwa wakati huu kinachotambulika ni shahada ya kwanza katika utumishi. Na kwa case yako wewe ni mwalimu tu, huwezi kubadili hilo kiserikali.
 
Ok
 
Kivipi kupoteza muda mkuu
Sasa wewe ni mwalimu kama unataka kusoma masters ilibidi usome masters ya mambo ya ma- carriculum lesson plan preparation ambayo kimsingi ndiyo waalimu mna-deal nayo. Na hapo hata manufaa ya kusoma masters utayaona maana umesoma kitu ambacho kipo ndani ya field yako

Lakini ukisema usomee uchumi technically huwezi kuwa mtalamu wa uchumi kwasababu walimu wa uchumi kuna baadhi ya vitu mkiwa chuo huwa hamvisomi kama vile econometrics , accounts environmental economics nk ambavyo humfanya mtu kuwa mchumi wengine wenu huchukua course mbili tu ambazo kwenu ndiyo huwa teaching - subjects .

Ndiyo maana nikashauri kama unataka ukasome hizo masters za uchumi , inabidi kwanza ufanye utaratibu uwe mchumi kwanza afu ndyo ukasome hivyo vitu .
 
kweli kabisa
 
Siyo sahihi chief, nakwambia sijaacha kitu chochote kwenye uchumi. Econometrics tumesoma kama miaka miwili ni soma lililokuwa linanipa B+ kutokana kwamba mimi napenda Hesabu sana. Accounts ndo usiseme hiyo ilikuwa inanipa A kutokea mwaka wa kwanza.
Kitu kingine kusoma ualimu hakukuzuii kusoma na kuwa mbobevu kwenye somo lako husika.
Mfano jamaa zangu waliosomea ualimu wa kozi hii ya biashara wengi walijiendeleza kusoma CPA T sasa ni wahasibu katika makampuni na benki tofauti tofauti.
Hayati Rais Magufuli alisomea ualimu katika level ya bachelor katika somo la Chemistry, lakini kwa level ya Masters na PHD akasoma Chemistry pekee na hivyo kuwa mtaalamu wa kemia
 
Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.

1. Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.

2. Ya pili MS in Finance and Economics.

3. Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.

4. MS in International Business Finance and Economics.

Ipi kati ya hizo nichague kwa mstakabali wa mbeleni.
Natoka nje ya mada kidogo kwani malengo yako ya kusoma yapoje??

Unataka cheti au unafuata passion?? Tujifunze kufikir nje ya Box..
 
Siyo sahihi chief, nakwambia sijaacha kitu chochote kwenye uchumi. Econometrics tumesoma kama miaka miwili ni soma lililokuwa linanipa B+ kutokana kwamba mimi napenda Hesabu sana. Accounts ndo usiseme hiyo ilikuwa inanipa A kutokea mwaka wa kwanza.
Kitu kingine kusoma ualimu hakukuzuii kusoma na kuwa mbobevu kwenye somo lako husika.
Mfano jamaa zangu waliosomea ualimu wa kozi hii ya biashara wengi walijiendeleza kusoma CPA T sasa ni wahasibu katika makampuni na benki tofauti tofauti.
Hayati Rais Magufuli alisomea ualimu katika level ya bachelor katika somo la Chemistry, lakini kwa level ya Masters na PHD akasoma Chemistry pekee na hivyo kuwa mtaalamu wa kemia
Hongera kwa kufikiria kupiga hatua, endelea na mipango yako....tafuta watu sahihi wa kukupa mwongozo wa ukweli hapa hata tusiojua lolote tutakulisha matango pori ilimradi tu, kasome uende field nyingine inawezekana. Kila laheri
 
Back
Top Bottom