Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Real life story,Hongera kwa kufikiria kupiga hatua, endelea na mipango yako....tafuta watu sahihi wa kukupa mwongozo wa ukweli hapa hata tusiojua lolote tutakulisha matango pori ilimradi tu, kasome uende field nyingine inawezekana. Kila laheri
Brother angu mmoja alisoma PGM,
Akaenda ualimu diploma akaajiliwa UALIMU...
Akaenda kusoma degree akabadirisha akasoma IT
Akarudi akaja fanyiwa Recategorizetion now ni IT mkubwa TAIFA...