Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Ngumu kushauriwa wakati hatujui chochote kuhusu wewe.Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.
Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.
Ya pili MS in Finance and Economics.
Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.
MS in International Business Finance and Economics.
Ipi kati ya hizo nichague kwa mstakabali wa mbele
Undergraduate nilisomea kozi ya ualimu kwa masomo ya Uchumi na Uhasibu kwa sasa Mwalimu wa sekondari kwa somo la uchumi.Ngumu kushauriwa wakati hatujui chochote kuhusu wewe.
1.Undergraduate umesoma kozi gani?
2.Kwa sasa unafanya kazi ya aina gani (title yako, ni private, public, au NGO?)na majukumu yako ya kila siku in summary (2 sentences) ni yapi?
3.Ndoto yako career wise ni ipi?
4.Moyo wako unapenda nini haswa kati ya hayo?
5.Lengo lako la kusoma Masters ni ili iweje?
6.Hizo admission ulizopata ni kutoka vyuo gani?
Wewe hamu yako ni nini?Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.
Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.
Ya pili MS in Finance and Economics.
Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.
MS in International Business Finance and Economics.
Ipi kati ya hizo nichague kwa mstakabali wa mbele
Hiyo kozi ya ualimu inaitwaje? huwezi ukawa mbobevu wa uchumi wakagi wewe ni mwalimu. Hata hiyo masters haitakua na tija kwa muundo wako wa ualimu.Undergraduate nilisomea kozi ya ualimu kwa masomo ya Uchumu na Uasibu kwa sasa Mwalimu wa sekondari kwa somo la uchumi.
Ndoto yangu ni kuwa mtaalamu katika Uchumi
Ubobevu wa uchumi upi unazungumzia kama mimi mtu wa BAED nimesoma na watu wa BAEC vitu vyao vyote walivyosoma. Halafu chuo na cha nje kwa hiyo wao hawakuona huo ubobevu. Halafu sio kwamba ukiwa mwalimu unazuiwa kusoma fani nyingine au kupata ajira kwenye nyanja nyingine.Hiyo kozi ya ualimu inaitwaje? huwezi ukawa mbobevu wa uchumi wakagi wewe ni mwalimu. Hata hiyo masters haitakua na tija kwa muundo wako wa ualimu.
Heri ungekua na Degree ya uchumi ama accounts ambayo ni pure
Sikiliza mwalimu wa uchumi, kama unaweza kupata ajira nyingine kwa hiyo degree yako ya masomo ya uchumi jaribu tu kwenda idara ya fedha na mipango hapo halmashauri ukafanye kazi. Kwa wakati huu kinachotambulika ni shahada ya kwanza katika utumishi. Na kwa case yako wewe ni mwalimu tu, huwezi kubadili hilo kiserikali.Ubobevu wa uchumi upi unazungumzia kama mimi mtu wa BAED nimesoma na watu wa BAEC vitu vyao vyote walivyosoma. Halafu chuo na cha nje kwa hiyo wao hawakuona huo ubobevu. Halafu sio kwamba ukiwa mwalimu unazuiwa kusoma fani nyingine au kupata ajira kwenye nyanja nyingine.
OkSikiliza mwalimu wa uchumi, kama unaweza kupata ajira nyingine kwa hiyo degree yako ya masomo ya uchumi jaribu tu kwenda idara ya fedha na mipango hapo halmashauri ukafanye kazi. Kwa wakati huu kinachotambulika ni shahada ya kwanza katika utumishi. Na kwa case yako wewe ni mwalimu tu, huwezi kubadili hilo kiserikali.
Shukrani mkuu, ukiwa na muda unaweza nidadavulia zaidi hapaGo no.4 in exposure nyingi tofauti na zote hapo
Kivipi kupoteza muda mkuuOmba kujiendeleza kielimu afu kasome degree ya uchumi tu ndyo uje kusoma hayo uliyoyaandika hapo .
Nje na hapo utapoteza muda tu .
Sasa wewe ni mwalimu kama unataka kusoma masters ilibidi usome masters ya mambo ya ma- carriculum lesson plan preparation ambayo kimsingi ndiyo waalimu mna-deal nayo. Na hapo hata manufaa ya kusoma masters utayaona maana umesoma kitu ambacho kipo ndani ya field yakoKivipi kupoteza muda mkuu
kweli kabisaSasa wewe ni mwalimu kama unataka kusoma masters ilibidi usome masters ya mambo ya ma- carriculum lesson plan preparation ambayo kimsingi ndiyo waalimu mna-deal nayo. Na hapo hata manufaa ya kusoma masters utayaona maana umesoma kitu ambacho kipo ndani ya field yako
Lakini ukisema usomee uchumi technically huwezi kuwa mtalamu wa uchumi kwasababu walimu wa uchumi kuna baadhi ya vitu mkiwa chuo huwa hamvisomi kama vile econometrics , accounts environmental economics nk ambavyo humfanya mtu kuwa mchumi wengine wenu huchukua course mbili tu ambazo kwenu ndiyo huwa teaching - subjects .
Ndiyo maana nikashauri kama unataka ukasome hizo masters za uchumi , inabidi kwanza ufanye utaratibu uwe mchumi kwanza afu ndyo ukasome hivyo vitu .
Siyo sahihi chief, nakwambia sijaacha kitu chochote kwenye uchumi. Econometrics tumesoma kama miaka miwili ni soma lililokuwa linanipa B+ kutokana kwamba mimi napenda Hesabu sana. Accounts ndo usiseme hiyo ilikuwa inanipa A kutokea mwaka wa kwanza.Sasa wewe ni mwalimu kama unataka kusoma masters ilibidi usome masters ya mambo ya ma- carriculum lesson plan preparation ambayo kimsingi ndiyo waalimu mna-deal nayo. Na hapo hata manufaa ya kusoma masters utayaona maana umesoma kitu ambacho kipo ndani ya field yako
Lakini ukisema usomee uchumi technically huwezi kuwa mtalamu wa uchumi kwasababu walimu wa uchumi kuna baadhi ya vitu mkiwa chuo huwa hamvisomi kama vile econometrics , accounts environmental economics nk ambavyo humfanya mtu kuwa mchumi wengine wenu huchukua course mbili tu ambazo kwenu ndiyo huwa teaching - subjects .
Ndiyo maana nikashauri kama unataka ukasome hizo masters za uchumi , inabidi kwanza ufanye utaratibu uwe mchumi kwanza afu ndyo ukasome hivyo vitu .
Natoka nje ya mada kidogo kwani malengo yako ya kusoma yapoje??Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.
1. Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.
2. Ya pili MS in Finance and Economics.
3. Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.
4. MS in International Business Finance and Economics.
Ipi kati ya hizo nichague kwa mstakabali wa mbeleni.
Hongera kwa kufikiria kupiga hatua, endelea na mipango yako....tafuta watu sahihi wa kukupa mwongozo wa ukweli hapa hata tusiojua lolote tutakulisha matango pori ilimradi tu, kasome uende field nyingine inawezekana. Kila laheriSiyo sahihi chief, nakwambia sijaacha kitu chochote kwenye uchumi. Econometrics tumesoma kama miaka miwili ni soma lililokuwa linanipa B+ kutokana kwamba mimi napenda Hesabu sana. Accounts ndo usiseme hiyo ilikuwa inanipa A kutokea mwaka wa kwanza.
Kitu kingine kusoma ualimu hakukuzuii kusoma na kuwa mbobevu kwenye somo lako husika.
Mfano jamaa zangu waliosomea ualimu wa kozi hii ya biashara wengi walijiendeleza kusoma CPA T sasa ni wahasibu katika makampuni na benki tofauti tofauti.
Hayati Rais Magufuli alisomea ualimu katika level ya bachelor katika somo la Chemistry, lakini kwa level ya Masters na PHD akasoma Chemistry pekee na hivyo kuwa mtaalamu wa kemia
Soma na 2Undergraduate nilisomea kozi ya ualimu kwa masomo ya Uchumi na Uhasibu kwa sasa Mwalimu wa sekondari kwa somo la uchumi.
Ndoto yangu ni kuwa mtaalamu katika Uchumi