Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Real life story,Hongera kwa kufikiria kupiga hatua, endelea na mipango yako....tafuta watu sahihi wa kukupa mwongozo wa ukweli hapa hata tusiojua lolote tutakulisha matango pori ilimradi tu, kasome uende field nyingine inawezekana. Kila laheri
Wapo walimu wengi nawajua waliosoma kozi nyingine wakabadili kazi....wanaomwambia we ni mwalimu utabaki kuwa mwalimu sijui wanawaza nini....Real life story,
Brother angu mmoja alisoma PGM,
Akaenda ualimu diploma akaajiliwa UALIMU...
Akaenda kusoma degree akabadirisha akasoma IT
Akarudi akaja fanyiwa Recategorizetion now ni IT mkubwa TAIFA...
Shukrani mkuuHongera kwa kufikiria kupiga hatua, endelea na mipango yako....tafuta watu sahihi wa kukupa mwongozo wa ukweli hapa hata tusiojua lolote tutakulisha matango pori ilimradi tu, kasome uende field nyingine inawezekana. Kila laheri
Hongera kwakeReal life story,
Brother angu mmoja alisoma PGM,
Akaenda ualimu diploma akaajiliwa UALIMU...
Akaenda kusoma degree akabadirisha akasoma IT
Akarudi akaja fanyiwa Recategorizetion now ni IT mkubwa TAIFA...
Mara nyingi Recategorization hufanyika kwa degree ya kwanza. Huyo imewezekana kwa maana alikua na diploma. Kiutumishi tunaangalia degree yako ya kwanza ndio fani yako haswa.Real life story,
Brother angu mmoja alisoma PGM,
Akaenda ualimu diploma akaajiliwa UALIMU...
Akaenda kusoma degree akabadirisha akasoma IT
Akarudi akaja fanyiwa Recategorizetion now ni IT mkubwa TAIFA...
Kwamba hakuna mtu mwenye degree ya Education na Masters ya fani nyingine kisha akachana na ualimu akaenda huko kwingine?? Au mi ndio sijakuelewa🙄Mara nyingi Recategorization hufanyika kwa degree ya kwanza. Huyo imewezekana kwa maana alikua na diploma. Kiutumishi tunaangalia degree yako ya kwanza ndio fani yako haswa.
Angekua kasoma bachelor ya ualimu na kisha aende masters ya IT angekua kajifurahisha tu kimuundo.
Soma 3 au 4Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.
1. Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.
2. Ya pili MS in Finance and Economics.
3. Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.
4. MS in International Business Finance and Economics.
Ipi kati ya hizo nichague kwa mstakabali wa mbeleni.
By default ni ngumu sana mkuu. Waliopo yawezekana ukute wana motive ya kisiasa nyuma yao hivyo wakaweza kuachana na ualimu ama wako kwenye NGOs. Kwa serikali ni either awe kama academician ama researcher(mara chache mno)Kwamba hakuna mtu mwenye degree ya Education na Masters ya fani nyingine kisha akachana na ualimu akaenda huko kwingine?? Au mi ndio sijakuelewa🙄
hiiMS in Finance and Economics
Kwa nnavyojua mimi mwalimu anafungwa akiwa na degree ya ualimu halafu aongeze na masters ya ualimu ni kupoteza muda na pesa kwakweli, ila akisoma fani nyingine anaondoka vizuri tu na mambo mengine yanabadilikaBy default ni ngumu sana mkuu. Waliopo yawezekana ukute wana motive ya kisiasa nyuma yao hivyo wakaweza kuachana na ualimu ama wako kwenye NGOs. Kwa serikali ni either awe kama academician ama researcher(mara chache mno)
Muundo wa kiutumishi unamfunga mwalimu na boma la shule
ushauri kasome - MS in Finance and Economics. Kwa vile una back ground ya ualimu .... unaweza kutumika kwenye wizara au taasisi mbalimbali kuwapa watu ujuzi.. Msingi wewe ujielimishe zaidi , kila la kheriMS in Finance and Economics.
angalia course content yake and compare to the rest, hizo nyingine ni static data but hio no 4 is global wise. in nutshell check course content.Shukrani mkuu, ukiwa na muda unaweza nidadavulia zaidi hapa
Afuate huu ushauri.Sasa wewe ni mwalimu kama unataka kusoma masters ilibidi usome masters ya mambo ya ma- carriculum lesson plan preparation ambayo kimsingi ndiyo waalimu mna-deal nayo. Na hapo hata manufaa ya kusoma masters utayaona maana umesoma kitu ambacho kipo ndani ya field yako
Lakini ukisema usomee uchumi technically huwezi kuwa mtalamu wa uchumi kwasababu walimu wa uchumi kuna baadhi ya vitu mkiwa chuo huwa hamvisomi kama vile econometrics , accounts environmental economics nk ambavyo humfanya mtu kuwa mchumi wengine wenu huchukua course mbili tu ambazo kwenu ndiyo huwa teaching - subjects .
Ndiyo maana nikashauri kama unataka ukasome hizo masters za uchumi , inabidi kwanza ufanye utaratibu uwe mchumi kwanza afu ndyo ukasome hivyo vitu .
Hawataki atusue wanataka asifanikiweWapo walimu wengi nawajua waliosoma kozi nyingine wakabadili kazi....wanaomwambia we ni mwalimu utabaki kuwa mwalimu sijui wanawaza nini....
Sawa mkuu nimekuelewa.....Mara nyingi Recategorization hufanyika kwa degree ya kwanza. Huyo imewezekana kwa maana alikua na diploma. Kiutumishi tunaangalia degree yako ya kwanza ndio fani yako haswa.
Angekua kasoma bachelor ya ualimu na kisha aende masters ya IT angekua kajifurahisha tu kimuundo.
Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.
1. Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.
2. Ya pili MS in Finance and Economics.
3. Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.
4. MS in International Business Finance and Economics.
Ipi kati ya hizo nichague kwa mstakabali wa mbeleni.
Mimi mwenyewe napenda mambo ya Data niliwahi kufanya kazi zake kwenye hospital fulani mkoani Mara. Nadhani hii itanipa uwanja mpana katika uchumi na Data science kwenye kozi mojaNamba 3 mkuu. Data science kama ukiwa smart ndio dunia inapoenda
Hizi kozi zote ni vyuo vya nje?Undergraduate nilisomea kozi ya ualimu kwa masomo ya Uchumi na Uhasibu kwa sasa Mwalimu wa sekondari kwa somo la uchumi.
Ndoto yangu ni kuwa mtaalamu katika Uchumi