Superficial
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 232
- 471
Ni nzuri kama utakuwa vizuri kwenye account,pia account so ngumu ukiwa una mwongozo mzuriUnakazia ikimaanisha ni kozi nzuri sana au ni tofauti na hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nzuri kama utakuwa vizuri kwenye account,pia account so ngumu ukiwa una mwongozo mzuriUnakazia ikimaanisha ni kozi nzuri sana au ni tofauti na hivyo
Yaani bachelor tu usha specialize?Ni wachache sana sokoni na wanamezwa moja kwa moja na Mashirika ya bima na mifuko ya Pension. Lakini pia kuliko usome uchumi wa kawaida ni bora ukasema Shipping Economics. Inatolewa pale DMI. Hii ngoma utaenjoy maisha baada ya Chuo maana ni fani mpya na kwa TZ inatolewa hapo DMI tu. Ajira zake utaipata kwenye makampuni ya usafirishaji majini na nchi kavu.
Fursa zipo nyingi ila binafsi ninashauri kama utaosoma econ and stat focus zaidi kwenye data science and analytics ulimwengu unaelekea huko. Apply knowledge yako ya hayo masomo mawili huko.Kozi ya bachelor of arts in economics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gan?
Mkuu kuna ile nyingine inaitwa Businesses Statistics and economics inatolewa chuo cha takwimu ningependa ueelzee kidogo kwa faida ya wengi 🙏🙏Fursa zipo nyingi ila binafsi ninashauri kama utaosoma econ and stat focus zaidi kwenye data science and analytics ulimwengu unaelekea huko. Apply knowledge yako ya hayo masomo mawili huko.
Kama utasoma hii course add value on yourself nenda Udemy pita pia YouTube learn Data Analytics using Python, Ruby etc baada ya muda utajiongeza mwenyewe. Jitofautishe na graduates wenzako ambao hawatakua wanajua data science na analytics. Kama kuna elective courses za programming zisome.
Pitia notice board ya chuo any event au research activity inayohusu economics and stat wewe nenda tu you'll network na kujifunza vitu. Kama wenzako wa comp science watakuwa wana events za Python nenda jiunge nao learn new stuff!
Get a good GPA na soma kweli kweli maana its not a walk over. Omba internships kwenye hizi Big 4 (EY, KMPG, Delloite na PWC), medium sized audit firms, banks na insurance companies.
It won't be easy ila with hard work, maombi baada ya muda utafurahi.
Kila la heri.
vpi kwa BA statistics?Fursa zipo nyingi ila binafsi ninashauri kama utaosoma econ and stat focus zaidi kwenye data science and analytics ulimwengu unaelekea huko. Apply knowledge yako ya hayo masomo mawili huko.
Kama utasoma hii course add value on yourself nenda Udemy pita pia YouTube learn Data Analytics using Python, Ruby etc baada ya muda utajiongeza mwenyewe. Jitofautishe na graduates wenzako ambao hawatakua wanajua data science na analytics. Kama kuna elective courses za programming zisome.
Pitia notice board ya chuo any event au research activity inayohusu economics and stat wewe nenda tu you'll network na kujifunza vitu. Kama wenzako wa comp science watakuwa wana events za Python nenda jiunge nao learn new stuff!
Get a good GPA na soma kweli kweli maana its not a walk over. Omba internships kwenye hizi Big 4 (EY, KMPG, Delloite na PWC), medium sized audit firms, banks na insurance companies.
It won't be easy ila with hard work, maombi baada ya muda utafurahi.
Kila la heri.
data science east techvpi kwa BA statistics?