A
Anonymous
Guest
Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu kozi ya Community Development for Water Supply and Sanitation (CDWSS) inayotolewa na Chuo cha Maji (Water Institute) chini wa Wizara ya Maji.
Kozi hii ni specific kwenye sekta ya Maji na usafi wa mazingira lakini cha kusikitisha, hakuna utaratibu wa wazi wa ajira na utambuzi wa kada hii, hali inayowaacha wahitimu wengi bila mwelekeo wa ajira.
Tunaomba Wizara ya Maji itoe ufafanuzi na kuchukua hatua kuhusu mustakabali wa wahitimu wa kozi hii