Hivi aircraft Engineer anaweza kurusha ndege?Nadhani umenielewa '' hyo 70'' ukitaka kuwa tanboy na hyo '140' ukitaka kuwa dereva. Sasa piga hesabu, na hyo bei ilikuwa ya mwaka 2018 sasa hii ni 2020 balaa
Njoo upige aircraft engineering (ufundi) N.I.T
Ada 15m per 1 yearView attachment 1546900
Mimi ndoto iliishia form six.Wakati nilipokuwa nasoma nilifikiri kuwa marubani niwatu wenye Akili kubwa mno ila baadae ndio nikagundua kuwa ili uweze kuwa rubani tofauti na qualifying zote pia itakubidi familia uliyotokea ni ya namna gani kwasababu
1: Hakuna kozi inayoitwa ya urubani hakuna TCU wala HESLB (bodi ya mikopo) itakupasa kulipa wewe kama wewe kwa hiyo kwa familia za kipato cha chini ni ngumu mno kua afford ikiwa familia ni maskini, ni swala ambalo linasikitisha sana na si kusikitisha pia linakatisha tamaa hasa kwa vijana ambao wanatokea familia duni ambazo kipato nikidogo na watamani siku kua marubani.
Wachache sana wanao timiza na kuishi katika ndoto zao...!Almost kila mtu amepitiwa na upepo huo...!Mimi ndoto iliishia form six.
Watu wakiniambia nilikuwa sielewi.
Sayansi ya kiafrika...!Hapa mtaani kwetu Kuna katoto kadogo, 5yrs, kanasema kanarusha ndege, kamefundishwa na bibi yake na Sasa anaweza kwenda popote bila uangalizi na usimamizi wa Bibi Yake.
Pia anasema anajua ku oparate excavator, anafukua makaburi peke yake