Kozi ya Urubani

Kozi ya Urubani

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
973
Wakuu,

Leo katika pita pita zangu kwenye mitandao nimevutiwa na taarifa ya rubani mwenye umri mdogo kabisa Tanzania kurusha Boing ambaye ana miaka 21.Na mimi nimeshawishika kuwekeza kwa mtoto wangu, swalli langu ni kwamba, je ni qualification gani anatakiwa awe nazo ili aweze kusomea urubani na pili gharama zake zikoje.

Shukrani sana, naomba majibu tafadhali
 
Nadhani umenielewa '' hyo 70'' ukitaka kuwa tanboy na hyo '140' ukitaka kuwa dereva. Sasa piga hesabu, na hyo bei ilikuwa ya mwaka 2018 sasa hii ni 2020 balaa

Njoo upige aircraft engineering (ufundi) N.I.T

Ada 15m per 1 year
IMG_20200824_182230_844.jpeg
 
Wakati nilipokuwa nasoma nilifikiri kuwa marubani niwatu wenye Akili kubwa mno ila baadae ndio nikagundua kuwa ili uweze kuwa rubani tofauti na qualifying zote pia itakubidi familia uliyotokea ni ya namna gani kwasababu

1: Hakuna kozi inayoitwa ya urubani hakuna TCU wala HESLB (bodi ya mikopo) itakupasa kulipa wewe kama wewe kwa hiyo kwa familia za kipato cha chini ni ngumu mno kua afford ikiwa familia ni maskini, ni swala ambalo linasikitisha sana na si kusikitisha pia linakatisha tamaa hasa kwa vijana ambao wanatokea familia duni ambazo kipato nikidogo na watamani siku kua marubani.
 
Mimi ndoto iliishia form six.
Watu wakiniambia nilikuwa sielewi.
 
Hapa mtaani kwetu Kuna katoto kadogo, 5yrs, kanasema kanarusha ndege, kamefundishwa na bibi yake na Sasa anaweza kwenda popote bila uangalizi na usimamizi wa Bibi Yake.
Pia anasema anajua ku oparate excavator, anafukua makaburi peke yake
 
Sayansi ya kiafrika...!
 
Rubani ni abiria aliyechangamka.

Kwenye urubani mchawi ni ada. Wakati ambapo degree ni miaka 3 Na zaidi,urubani miaka 2 au pungufu. Hata vigezo vya kusomea urubani ni vidogo kuliko vya kusomea degree.(minimum qualifications).

Jamaa ameonesha hapo juu kuwa ADA ni kama $70,000. Ila mshahara kwa mwaka karibia nusu ya marubani wanapata $140,000 Na kuendelea. Kwa lugha nyingine(isiyo sahihi sana) ni kuwa wastani was mshahara ni $140,00 kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom