Kozi yenye kuuzika

Kozi yenye kuuzika

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
8,201
Reaction score
16,246
Habari wanajukwaa.
Ninaombeni mnisaidie maoni yenu kuhusu kozi saivi yenye kusomea kwa kijana wa pcm mwenye 1 point 8.
Mie nimemshauri ya kwanza
Chemical Engineering
Electrical Engineering
Mechanical engineering.
Nishaurini kwa kujazia nyama.
Mana nimeona kemiko Ana wigo Mpana Sana wa kazi Mana anatokea familia zetu so mtaji wa kujiajiri Hana labda arudi aanze kubeba zege ama alone vibarua ili apate mtaji ajiajiri.
Ila naangalia uwezekano wa yeye wa kusoma afu akapata kaajira angalau akaweka yake mfukoni afu akili yake itaamua.
Karibuni
 
Kusoma na kupata kazi Ni vitu viwili tofauti

Me Sina msaada mwingine Zaid ya kwamba ushindani Ni mkubwa..akifanikiwa tu kumaliza chuo coz yoyote Kisha akaapply ajira portal akaitwa utumishi Basi akiingia oral interview nitafute nimpe hints fulani Zina work [emoji817].narudia Tena akifanikiwa kupenya mpk oral nikumbuke nimpe madini apate kazi [emoji817]
 
Tapel
 
1.Civil,
2.Chemical ,
3.Mechanical,
4.Industrial,
5. Electrical,
5.Agriculture,
6.Geology
7.Computer,
8.Telecommunication,
9.Electronics,
10.Oil and gas.

Hiyo ndio ranki ya top ten Good Engineering courses kwa sasa hapa Tanzania.

Ingawa zina mchango katika kupata kazi lakini mara nyingi kupata kazi ni bahati tu ya mtu, pia kujituma kipindi cha Field inasaidia sana.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Sijasema anipe hela me nimefanya interview zao Mara mbili na nilikuwa naishia written ila ya mwisho nikafanikiwa kuingia oral Kuna mlevi fulani akanifundisha namna ya kujibu oral yao.. nikafanikiwa kufaulu ingawa tulifaulu wote ikumbukwe kada yetu hatukuwa Wengi tulikuwa Zaidi ya 40 na nafasi zilikuwa nne..ushauri was yule mlevi niliuzingatia na Nika pass nikaitwa wa mwanzoni kbs...hizo hints sio ngumu kuzitoa hapa in short kuandika yote siwezi Kama uno interested Ni pm namba yako nikufundishe bureee
 
Habari wanajukwaa.
Ninaombeni mnisaidie maoni yenu kuhusu kozi saivi yenye kusomea kwa kijana wa pcm mwenye 1 point 8.
Mie nimemshauri ya kwanza
Chemical Engineering
Electrical Engineering
Mechanical engineering.
Nishaurini kwa kujazia nyama.
Mana nimeona kemiko Ana wigo Mpana Sana wa kazi Mana anatokea familia zetu so mtaji wa kujiajiri Hana labda arudi aanze kubeba zege ama alone vibarua ili apate mtaji ajiajiri.
Ila naangalia uwezekano wa yeye wa kusoma afu akapata kaajira angalau akaweka yake mfukoni afu akili yake itaamua.
Karibuni
Mtoa mada jiulize maswali haya atafanya kazi wapi? Ndio utapata majibu, viwanda vipo au haivipo, orodhesha viwanda vyote kisha hesabu nafasi za ajira, hapo utapata majibu. Usifuate mkumbo wa sifa.
 
1.Civil,
2.Chemical ,
3.Mechanical,
4.Industrial,
5. Electrical,
5.Agriculture,
6.Geology
7.Computer,
8.Telecommunication,
9.Electronics,
10.Oil and gas.

Hiyo ndio ranki ya top ten Good Engineering courses kwa sasa hapa Tanzania.

Ingawa zina mchango katika kupata kazi lakini mara nyingi kupata kazi ni bahati tu ya mtu, pia kujituma kipindi cha Field inasaidia sana.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Hivi geology nayo ni engineering au ni Science mkuu.
 
Habari wanajukwaa.
Ninaombeni mnisaidie maoni yenu kuhusu kozi saivi yenye kusomea kwa kijana wa pcm mwenye 1 point 8.
Mie nimemshauri ya kwanza
Chemical Engineering
Electrical Engineering
Mechanical engineering.
Nishaurini kwa kujazia nyama.
Mana nimeona kemiko Ana wigo Mpana Sana wa kazi Mana anatokea familia zetu so mtaji wa kujiajiri Hana labda arudi aanze kubeba zege ama alone vibarua ili apate mtaji ajiajiri.
Ila naangalia uwezekano wa yeye wa kusoma afu akapata kaajira angalau akaweka yake mfukoni afu akili yake itaamua.
Karibuni
Kwa tanzania hizi ndio kozi mama za uhandisi..

1. Civil engineering

2. Mechanical engineering

3. Electrical

Hizo ndizo kozi pekee naweza mshauri mtoto wa mkulima asome.

PS: Pamoja na hizo kuna hizi..

4. Architecture

5. Irrigation ya SUA.

6. Environmental engineering..
 
Kwa tanzania hizi ndio kozi mama za uhandisi..

1. Civil engineering

2. Mechanical engineering

3. Electrical

Hizo ndizo kozi pekee naweza mshauri mtoto wa mkulima asome.
Asate chief, umepiga kwenye mshono...😊
 
Industrial engineering. kuna rafiki yangu aliajiriwa akiwa mwaka wa pili chuo
 
Habari wanajukwaa.
Ninaombeni mnisaidie maoni yenu kuhusu kozi saivi yenye kusomea kwa kijana wa pcm mwenye 1 point 8.
Mie nimemshauri ya kwanza
Chemical Engineering
Electrical Engineering
Mechanical engineering.
Nishaurini kwa kujazia nyama.
Mana nimeona kemiko Ana wigo Mpana Sana wa kazi Mana anatokea familia zetu so mtaji wa kujiajiri Hana labda arudi aanze kubeba zege ama alone vibarua ili apate mtaji ajiajiri.
Ila naangalia uwezekano wa yeye wa kusoma afu akapata kaajira angalau akaweka yake mfukoni afu akili yake itaamua.
Karibuni
Computer engineering,itamsaidia kwa kumpa wigo mpana wa kujiajiri akikosa ajira
 
Back
Top Bottom