Kozi za afya zenye ajira haraka

Jamani ,,,ni kozi gani ya afya inafaa nisomee kwa ufaulu huu
Chemistry_C
Biology_B
Physics_f NB:shule niliosomea haifundishi PH ,means hakuna teacher
 
[QUOTE="Chief_mataka, post: 42666074, member: 660558"


Clinical Medicine na Pharmaceutical Ni Taka Taka Siku Hizi.[/QUOTE]

Taka taka kweli kweli.
 
Wakuu naombeni mnijuze kozi gan ya afya ambayo nikisoma diploma sitosota mtaani ....maisha magumu mno. ..ambayo nitaajiriwa haraka

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Soma Medical Lab halafu tafuta Microscope moja ya Olympus na Urinalysis Machine halafu zamia Mkoa wenye wakulima wenye hela kama Morogoro, Ruvuma, Mbeya au Rukwa halafu nenda kule mawilayani huko tafuta frem halafu fungua Lab yako upige mipesa...

Kama una mtu wa karibu yako asome Diagnostic Radiography lakini akomalie sana Ultrasound aje mfungue Diagnostic Center...
Baada ya hapo ni kuoga mihela...

Hii inawafaa wale wasio na familia na kama huna mpango wa kuoa ndani ya miaka 5 au 7 hivi ukusanye hela mkoani kwanza ndo mwende/mrudi mjini mkiwa na mtaji wa kutosha...

Kama unataka ajira za Mama basi soma Clinical Medicine...
 
Kuusu optometry naona wasome tu ina fursa kubwa licha ya kaz za hospital za serikal na private. Unaweza kufungua clinic yako ya macho unapata pesa.

Pia kuna taasis za kimataifa (N.G.O) zinadil na mambo ya upofu ata apa bongo nishaiona moja kwnye kituo changu cha kazi inaitwa SIGHT SAVERS.. wanalipa vizul

Lingine kubwa anaweza kujiendeleza kielim kwenda kuchukua degree ya macho kama akiona mtaani mambo hayaelewek!..

Binafs sina shida kuusu

1. Nursing

( hii soko lake haliishi leo wala kesho ni A LIVING LEGEND kwnye afya ila unesi sio kaz ya mchezo " commitment " inaitajika

2. Dental ( big yes)
3. Radiology ( big yes)
4. Optometry ( big yes)
5. Physiotherapy ( big yes)

Kuusu

1. Med lab
2. C.o
3. Pharm

Kazi zipo ila za msimu
 
Hii N.G.O ipo nchi zaid ya 30 Dunian lengo Lao ni kupunguza magonjwa ya macho na upofu unaozuilika!.. wana miaka zaid ya 70 kwenye tasnia

Vijana wa optometry sehemu yenu io na bongo pia wapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…