Asome Dental,Radiology au Macho C.O now ushubwadaSoma Clinical officer kijana utakuja kunishukuru
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asome Dental,Radiology au Macho C.O now ushubwadaSoma Clinical officer kijana utakuja kunishukuru
Kupata MD ni ishu Sana vyuo vya serikali kwa aliyetokea C.O maana unaweza kuta C.O wanaotakiwa ni 10-15 na waliomba elfu 3+Mkuu hivi siku hizi watu wa clinical wanaweza kusoma MD?
Chagua moja hapaMedical Laboratory Science
Physiotherapy
Diagnostic Radiography
Nursing
Dental
Clinical Medicine na Pharmaceutical Ni Taka Taka Siku Hizi.
Kati ya Optometry na C.O ipi ni inafaa kuipa hilo tusi au hujui hata Optometry ni kitu gani?Kweli kabisa clinical officer mavimavi siku hizi
Hata medical lab ni uchafu tu siku hizi miaka itaenda na itarudi Nursing itabaki na status yake ileile huyu ni zaidi ya Daktari kuanzia R.N kwenda juuMedical Laboratory Science
Physiotherapy
Diagnostic Radiography
Nursing
Dental
Clinical Medicine na Pharmaceutical Ni Taka Taka Siku Hizi.
Umemshauri vizuriOptometry, orthotic and prosthetics, physiotherapy, dental...
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Naona umeamua makusudi akateseka mtaani baada ya kumaliza elimu yake...mhurumie mleta uzi.Soma Clinical officer kijana utakuja kunishukuru
Kama unaona msuli wa advance unauweza narudia kama unauweza nenda.Mimi mwenyewe nashindwa nifanyej wakuu Yaani hapo sijui nikasome kozi gani make wazazi wanalazimisha nikasome advance
Umenena vyema hadi wagombania kuuza maduka ya madawa.Medical Laboratory Science
Physiotherapy
Diagnostic Radiography
Nursing
Dental
Clinical Medicine na Pharmaceutical Ni Taka Taka Siku Hizi.
Kasomee animal health veterinary hutajutaWakuu naombeni mnijuze kozi gan ya afya ambayo nikisoma diploma sitosota mtaani ....maisha magumu mno. ..ambayo nitaajiriwa haraka
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Physiotherapy achane nayo atakufa masikini.
lbd clinical officer ila sio pharmaceutical science mkuu, huyu asome diploma ya famasi atanishukuruMedical Laboratory Science
Physiotherapy
Diagnostic Radiography
Nursing
Dental
Clinical Medicine na Pharmaceutical Ni Taka Taka Siku Hizi.
Akateseke wapi sema vijana hamtaki kujishughulisha mna mnataka kazi z a mjinimjini wakati kuna hospitali,zahanati, vituo kibao vijijni havina wahudumu,clinical officer ni kozi nzuri hasahasa Kama una mipango mikubwa maishani mwako.dogo ukiona co yupo mtaani ujue kaamua tu so kusema kakosa kazi aminiNaona umeamua makusudi akateseka mtaani baada ya kumaliza elimu yake...mhurumie mleta uzi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh physiotherapist yupi umemuona amekufa masikiniPhysiotherapy achane nayo atakufa masikini.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huna ulijualo,si juzi tu hapa ulikua unaomba ushauri jinsi gani utaapply hiyo kozi sisi tunamshauri huyo MTU kwa sababu tupo kwenye hii kada na nafasi kwa Sasa chache..Kama unaona Kuna zahanati hizo ziko wazi na umesoma nenda kafanye kazi.Akateseke wapi sema vijana hamtaki kujishughulisha mna mnataka kazi z a mjinimjini wakati kuna hospitali,zahanati, vituo kibao vijijni havina wahudumu,clinical officer ni kozi nzuri hasahasa Kama una mipango mikubwa maishani mwako.dogo ukiona co yupo mtaani ujue kaamua tu so kusema kakosa kazi amini
Tatizo binadamu wabishi sana.Wewe huna ulijualo,si juzi tu hapa ulikua unaomba ushauri jinsi gani utaapply hiyo kozi sisi tunamshauri huyo MTU kwa sababu tupo kwenye hii kada na nafasi kwa Sasa chache..Kama unaona Kuna zahanati hizo ziko wazi na umesoma nenda kafanye kazi.
NB:Clinical officer ni kozi nzuri mno Ila Kuna Mambo hapa Kati Kati yametokea yameharibu ubora na thamani ya hii kozi.
1.Mrundikano na wa vyuo na kupunguzwa kwa vigezo vya kusoma hiyo kozi zamani ilikua DCC Ila Sasa DDD inaenda.
2.Serikali kukaa zaidi ya miaka 5 bila kuajiri Hali iliyosababisha mlundikano wa watahiniwa mtaani.
3.Vyuo vya private kufanya biashara kwenye mafunzo ya afya Hali inayofanya kuzalisha watu wengi wasiokuwa na sifa huku wale wenye sifa kuonekana wote sawa.
4.Kuongezeka kwa vyuo vinavyotoa ngazi ya digrii na kudahili watahiniwa wengi na wanaohitimu wengi pia.hivyo kufanya C.O awe wakawaida tu.
5.Kukua kwa teknolojia ambayo inamfanya daktari asiwe mtu muhimu Sana kwa asilimia fulani kwa baadhi ya magonjwa hasa Tabibu maana karibu ya magonjwa mengi watu wanayafahamu hata jinsi ya kutibu hivyo watanzania siku hizi kila mtu daktari na ukiona anaenda hospital Basi ameshindwa kujitibu.
Na nyingine nyingi ....
Kwa Sasa kozi ambazo bado Zina market kubwa kwa mtoto wa maskini ni hizi hawezi kukosa ajira Tena atakaa hospital za wilaya.
1.Nesi(hasa kwa wanawake)
2.Radiology
3.Dental
Hizo kozi MTU akishikwa Hana namna ya kukusaidia lazima apate msaada na ndio kwa Sasa Zina watu wachache 2&3.
Optemetry na Physiotherapy ni nzuri Ila hospital zinazotoa hiyo huduma ni chache utachelewa kuajirika tegemezi lako Itakua serikali Ila ukipata shavu utakaa sehemu nzuri.
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Kwa sasa uhakika upo kwenye Diploma ya dental (meno).Wakuu naombeni mnijuze kozi gan ya afya ambayo nikisoma diploma sitosota mtaani ....maisha magumu mno. ..ambayo nitaajiriwa haraka
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Tena mkumbushe akileta mchezo badala ya kutumia miaka 3 atasoma miaka 5 na zaidi hiyo kozi na akirudi mtaani bado za uso.Unasema hivo wakati ndo ume apply September intake.Sawa.Kama kawaida[emoji1]