Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa swala la ajira, duniani nzima hususani 3rd world countries ni pasua Kichwa. Wewe Soma unachokipenda ukimaliza njoo shambani tulime mchicha.Mkuu nahitaji kujua waliomaliza pale kwenye kile chuo hali zao zipoje kiajira/kwenye soko.
soko lake ni ww utakavyojiwek utapata tu kazi ya kufanya maana kila mtu anatumia maji na kila nyumba na maghorofa yana mabomba ya maji nk nkNaomba kujua kozi za chuo cha maji zipoje sokoni,vipi uhitajika wake kwenye jamii upoje.Asante