Vilaza kama wewe huwa sipotezi muda kubishana nao. uliza walioko KIU wakwambie cut off point zao ni ngapi then ulinganishe na walioko vyuo kama MUHAS, CUHAS, KCMC na HKMU kwa kozi za MD, Pharmacy na Lab. ukipata jibu ukae kimya hivohivo.
Kwa mawazo yako Mgando yaliyojaa ukungu bado unafikiria walioko KIU ni kama walikuwa damped pale na TCU. we ndo unapotosha umma kwa mawazo yako ya ukilaza. unapochagua vyuo unapewa nafasi 5 za kujaza vyuo na kozi unazotaka kwa hiyo mwisho wa siku kwenye selection unapata nafasi moja kati ya zile 5 ulizojaza. usipoqualify ndo hapo unarudia kuchagua nafasi moja kwenye second au third round,
Usisahau pia kuwa kuna Transfer. VILAZA wengi wa KIU waliomba transfer kuhamia KIU kutoka programme zingine walizoomba kwenye vyuo vingine baada kuwa Competition imewatema na chuo pekee kilichobakia ni KIU. wapo niliosoma nao walikuwa wanaomba transfer wao wenyewe kwa kuomba barua za chuo na kuzipeleka TCU.
Ondoa akilini mwako hayo mawazo mgando kuwa TCU inamchagulia mtu kozi asiyoitaka.