Kozi za chuo kwa aliyesoma PCB

Kozi za chuo kwa aliyesoma PCB

Yani nikimaliza a-level mkuu kutoa ualim nini kingine

unamaana kwamba kama hujaenda chuo?
kama ni hivyo basi hakuna kazi yoyote itakayo-base kwenye hiyo CBG yako, itakuwa ni sawa tu na mtu wa form IV aliye mtaani, ni mpaka usomee kitu fulani hata college tu
 
za kubahatisha;
MEDICAL DOCTOR (MD)
PHARMACY
VETERINARY MEDICINE
za kutumaini kabisa;
MEDICAL LABORATORY
EDUCATION WITH SCIENCE
NURSING-Degree
ELECTRICAL ENGINEERING( kama umefaulu BAM)
na nyingine nyingi.

Electrical engineering?? Unaelewa ulichoandika???
 
Ahsant mkuu nikisoma nursing in degree nawaez kujiendelez na kuwa doctor


Kijana,,,upo level gani ya elimu?I bet form five au form six..sasa soma kwanza then hakikisha unafaulu vizuri sana kuna sehemu nyingi tu za kwenda!!
 
kuamakn na ushaur wawatu hum jf.vngne chukua vngne xoma uache kama vlvyo.uksoma CBG yako advnc. huwez kujakuwa MD.
utaixhia kuwa pharmasia n.k lakn MD nmpak usome phzoo ndug yan pcb.
 
kama upo vzul pcb aply chuo cha afya ngaz ya clincal offcer(diploma) ukmalza una chukua digree MD.ila mwixho wa kuaply n kexho tar 18/7/ ila kam vp nenda advanc ukfaul vzur hutakosa pakwenda chamxng kazabut.
 
Vilaza kama wewe huwa sipotezi muda kubishana nao. uliza walioko KIU wakwambie cut off point zao ni ngapi then ulinganishe na walioko vyuo kama MUHAS, CUHAS, KCMC na HKMU kwa kozi za MD, Pharmacy na Lab. ukipata jibu ukae kimya hivohivo.

Kwa mawazo yako Mgando yaliyojaa ukungu bado unafikiria walioko KIU ni kama walikuwa damped pale na TCU. we ndo unapotosha umma kwa mawazo yako ya ukilaza. unapochagua vyuo unapewa nafasi 5 za kujaza vyuo na kozi unazotaka kwa hiyo mwisho wa siku kwenye selection unapata nafasi moja kati ya zile 5 ulizojaza. usipoqualify ndo hapo unarudia kuchagua nafasi moja kwenye second au third round,

Usisahau pia kuwa kuna Transfer. VILAZA wengi wa KIU waliomba transfer kuhamia KIU kutoka programme zingine walizoomba kwenye vyuo vingine baada kuwa Competition imewatema na chuo pekee kilichobakia ni KIU. wapo niliosoma nao walikuwa wanaomba transfer wao wenyewe kwa kuomba barua za chuo na kuzipeleka TCU.

Ondoa akilini mwako hayo mawazo mgando kuwa TCU inamchagulia mtu kozi asiyoitaka.

Gombaneni Jamani..🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom