innocent isakala
Member
- Jul 11, 2015
- 28
- 2
Wakuu kwa anayefaham MTU akisoma cbg anauwezo wa kuja kufanya kazi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kwa anayefaham MTU akisoma cbg anauwezo wa kuja kufanya kazi gani
Yani nikimaliza a-level mkuu kutoa ualim nini kingine
za kubahatisha;
MEDICAL DOCTOR (MD)
PHARMACY
VETERINARY MEDICINE
za kutumaini kabisa;
MEDICAL LABORATORY
EDUCATION WITH SCIENCE
NURSING-Degree
ELECTRICAL ENGINEERING( kama umefaulu BAM)
na nyingine nyingi.
Sasa mkuu si bora nisiende five
Ahsant mkuu nikisoma nursing in degree nawaez kujiendelez na kuwa doctor
Ahsant mkuu nikisoma nursing in degree nawaez kujiendelez na kuwa doctor
Vilaza kama wewe huwa sipotezi muda kubishana nao. uliza walioko KIU wakwambie cut off point zao ni ngapi then ulinganishe na walioko vyuo kama MUHAS, CUHAS, KCMC na HKMU kwa kozi za MD, Pharmacy na Lab. ukipata jibu ukae kimya hivohivo.
Kwa mawazo yako Mgando yaliyojaa ukungu bado unafikiria walioko KIU ni kama walikuwa damped pale na TCU. we ndo unapotosha umma kwa mawazo yako ya ukilaza. unapochagua vyuo unapewa nafasi 5 za kujaza vyuo na kozi unazotaka kwa hiyo mwisho wa siku kwenye selection unapata nafasi moja kati ya zile 5 ulizojaza. usipoqualify ndo hapo unarudia kuchagua nafasi moja kwenye second au third round,
Usisahau pia kuwa kuna Transfer. VILAZA wengi wa KIU waliomba transfer kuhamia KIU kutoka programme zingine walizoomba kwenye vyuo vingine baada kuwa Competition imewatema na chuo pekee kilichobakia ni KIU. wapo niliosoma nao walikuwa wanaomba transfer wao wenyewe kwa kuomba barua za chuo na kuzipeleka TCU.
Ondoa akilini mwako hayo mawazo mgando kuwa TCU inamchagulia mtu kozi asiyoitaka.