Mechanical Engineering
Civil Engineering
Electrical Engineering
Course tajwa hapo juu, ndizo zilizo zalisha course nyinge za Engineering.
Mfano unapozungumzia Architectural amezaliwa na Civil, Tellecom, Computer wametoka kwenye Electrical na Automobile, Aerospace wametoka kwa Mechanical...
Sielewi mantiki ya uzi. Unatujuza? Au? And what should be our response! Plus i wonder where Genetics eng, Communications Eng, Computer eng fit in your categories!
am also an engineer. lakini mkuu hapo ww labda tu tuseme ni kuwa hizo kozi ni common. Where do u put chemical eng? ambayo ni kongwe. so usichanganye maneno humu.
Mechanical Engineering
Civil Engineering
Electrical Engineering
Course tajwa hapo juu, ndizo zilizo zalisha course nyinge za Engineering.
Mfano unapozungumzia Architectural amezaliwa na Civil, Tellecom, Computer wametoka kwenye Electrical na Automobile, Aerospace wametoka kwa Mechanical...
Dogo next time usikurupuke...
What is the genesis of;
Biological eng.
Chemical eng.
Environmental eng.
Agricultural eng.
Mining eng.
Petroleum eng.
Textile eng..
Dogo next time usikurupuke...
What is the genesis of;
Biological eng.
Chemical eng.
Environmental eng.
Agricultural eng.
Mining eng.
Petroleum eng.
Textile eng..
Dogo next time usikurupuke...
What is the genesis of;
Biological eng.
Chemical eng.
Environmental eng.
Agricultural eng.
Mining eng.
Petroleum eng.
Textile eng..
LTK hapo umecheza tu akili yetu tu...lakini in reality its wise to say zile eng. ndio the earliest lkn sio kwamba ndio zilileta eng. zingineKijani hapo hao ni watoto wa Civil, hapo kwenye Red ni watoto wa Agriculture
Chemical engineering ni subset ya PETROLEUM ENGINEERINGPetroleum engineering je?
man unajua dawa ww? there is chemistry there as far as chemichal engineering goes kwani watu wameanza kutumia dawa karne ya ngapi kabla ya kristo??... unajua chuma na chumvi ww? there is mining engineering so imeanza lini? Anyway whats ur point?????Nakujuza..
Genetic eng = Genetic modification .. subiri nirudi nitakuambia wapi pa kuitupia, but itakua out ya hizo tatu nilizo zitaja.