Kozi za Engineer

Kozi za Engineer

LTK

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
267
Reaction score
97
Mechanical Engineering
Civil Engineering
Electrical Engineering

Course tajwa hapo juu, ndizo zilizo zalisha course nyinge za Engineering.

Mfano unapozungumzia Architectural amezaliwa na Civil, Tellecom, Computer wametoka kwenye Electrical na Automobile, Aerospace wametoka kwa Mechanical...
 
Sielewi mantiki ya uzi. Unatujuza? Au? And what should be our response! Plus i wonder where Genetics eng, Communications Eng, Computer eng fit in your categories!
 
Nakujuza..
Genetic eng = Genetic modification .. subiri nirudi nitakuambia wapi pa kuitupia, but itakua out ya hizo tatu nilizo zitaja.

Sielewi mantiki ya uzi. Unatujuza? Au? And what should be our response! Plus i wonder where Genetics eng, Communications Eng, Computer eng fit in your categories!
 
am also an engineer. lakini mkuu hapo ww labda tu tuseme ni kuwa hizo kozi ni common. Where do u put chemical eng? ambayo ni kongwe. so usichanganye maneno humu.
 
Good Guy , hiyo inajichomoza kutoka kwenye Agriculture Eng
 
Last edited by a moderator:
Course kongwe Duniani utaanza na Civil pamoja na Mechanical hizo zingine zinafuata.

am also an engineer. lakini mkuu hapo ww labda tu tuseme ni kuwa hizo kozi ni common. Where do u put chemical eng? ambayo ni kongwe. so usichanganye maneno humu.
 
Mechanical Engineering
Civil Engineering
Electrical Engineering

Course tajwa hapo juu, ndizo zilizo zalisha course nyinge za Engineering.

Mfano unapozungumzia Architectural amezaliwa na Civil, Tellecom, Computer wametoka kwenye Electrical na Automobile, Aerospace wametoka kwa Mechanical...

Dogo next time usikurupuke...
What is the genesis of;
Biological eng.
Chemical eng.
Environmental eng.
Agricultural eng.
Mining eng.
Petroleum eng.
Textile eng..
 
Dogo next time usikurupuke...
What is the genesis of;
Biological eng.

Chemical eng.
Environmental eng.
Agricultural eng.
Mining eng.
Petroleum eng.
Textile eng..

Kijani hapo hao ni watoto wa Civil, hapo kwenye Red ni watoto wa Agriculture
 
Mechanical

  • Thermodynamics
    Mechanics
    Material Science
    Fluids
    Turbo Machinery
    Strength,Theory and Dynamics or Kinematics of Machines (SOM, TOM ,DOM)
    Engineering and Machine Drawing
    Machine Component Design
    Production Process
    Entrepreneurship
    Automobile..........

and many more
 
Kijani hapo hao ni watoto wa Civil, hapo kwenye Red ni watoto wa Agriculture
LTK hapo umecheza tu akili yetu tu...lakini in reality its wise to say zile eng. ndio the earliest lkn sio kwamba ndio zilileta eng. zingine
 
Last edited by a moderator:
Hapana Vijana,
Chemical engineering ni baba wa
1)Petroleum Eng
2)Metallurgical ENG
3)Mineral Processing Eng
4)Material and Design Eng
5)Etcetera
 
Nijulisheni industrial engineering wakuu iko vipi? Parts zake za kusoma na market yake
 
Nakujuza..
Genetic eng = Genetic modification .. subiri nirudi nitakuambia wapi pa kuitupia, but itakua out ya hizo tatu nilizo zitaja.
man unajua dawa ww? there is chemistry there as far as chemichal engineering goes kwani watu wameanza kutumia dawa karne ya ngapi kabla ya kristo??... unajua chuma na chumvi ww? there is mining engineering so imeanza lini? Anyway whats ur point?????
 
Back
Top Bottom