Kozi za engineering chuo cha kilimo sokoine Ukimaliza unaajiriwa na serikali?

Kozi za engineering chuo cha kilimo sokoine Ukimaliza unaajiriwa na serikali?

Kivule

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
639
Reaction score
662
Habari wakuu, ningependa kujua kama kozi za uhandisi katika chuo cha kilimo sokoine kama IRRIGATION AND WATER RESOURCES ENGINEERING na AGRICULTURE ENGINEERING baada ya kuhitimu unapangiwa kazi na serikali kama UALIMU au unatafuta mwenyewe haupangiwi na serikali????? na je mhitimu wa kidato cha 6 comb ya P.C.M ambae akusoma somo la kilimo kidato cha 4 anaweza kupata nafasi ya kuchaguliwa ktk iyo kozi??????
 
Kwenye kilimo siku hizi hakuna kupangiwa tu kama walimu. Ni kuomba kazi utumishi pindi zinapotangazwa. Kuhusu kutokusoma kilimo wala hilo halisumbui kabisa na hakuna shida.
 
Kwa nini upangiwe kazi au itafute kazi? Kozi nzuri kiasi hicho alafu unazingumzia habari za kupangiwa kazi au kutafuta kazi kweli? Kama umesoma PCM hapo ndo penyewe. Agr. sio lazima. then unaingia shambani, unalima na kumwagilia, unavuna na kupata fedha. Acha kuwaza white colar job
 
Ahsante sana kaka kwa maelezo yako, vipi lakini soko lake la ajira kwa sasa???
 
Ahsante kwa ushauri lakini kwangu mimi nimepanga niajiriwe af ndo nijiajiri ndo mana nimeomba msaada kwenu wakuu.
 
Back
Top Bottom