Kivule
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 639
- 662
Habari wakuu, ningependa kujua kama kozi za uhandisi katika chuo cha kilimo sokoine kama IRRIGATION AND WATER RESOURCES ENGINEERING na AGRICULTURE ENGINEERING baada ya kuhitimu unapangiwa kazi na serikali kama UALIMU au unatafuta mwenyewe haupangiwi na serikali????? na je mhitimu wa kidato cha 6 comb ya P.C.M ambae akusoma somo la kilimo kidato cha 4 anaweza kupata nafasi ya kuchaguliwa ktk iyo kozi??????