Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Imekufa kupisha atcl kama inavyo kufa kq kupisha atclFastjet ilienda wapi kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekufa kupisha atcl kama inavyo kufa kq kupisha atclFastjet ilienda wapi kwanza?
ATCL imeshindwa kuruka nje ya Nchi yoyote kwa kuhofia Kukamatwa ili kulipa madeni...SI muziuze tu mulipe Madeni bana.😂😂😂Ilipata matatizo ya kipesa na kibiashara kama KQ, tukaisimamisha hadi watakapojipanga upya, ninasikia wapo njiani kurejea wameshapata pesa. KQ ninasikia inauza ndege chakavu ili wapate pesa. Ila mjitahidi kutafuta ndege mpya na za kisasa, otherwise hakuna atapanda hayo madege ya kizamani, mtaendelea kupata hasara kama Fastjet.
KQ inaitua Oliver Tambo bila wasiwasi je ATCL?? Naskia tangu iwachiliwe hata betri ilitolewa isije ikapaa bila hiari...once bitten twice shy 🤣🤣🤣Imekufa kupisha atcl kama inavyo kufa kq kupisha atcl
ATCL Ndege zinatekwa zilipe Madeni afu zinafungiwa nyumbani zisitekwe juu ya madeni...hasara tupu [emoji23][emoji23][emoji23]
Umesikia mwezi ujao Dreamliner mpya inatua katika " the biggest and most advanced Airport in East and Central Africa? "ATCL imeshindwa kuruka nje ya Nchi yoyote kwa kuhofia Kukamatwa ili kulipa madeni...SI muziuze tu mulipe Madeni bana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaingoja Sana 😂😂😂Umesikia mwezi ujao Dreamliner mpya inatua katika " the biggest and most advanced Airport in East and Central Africa? "
Na dereva wake leseni yake kapatia mlango wa nyuma, Na tena hataki ushauri kuonyesha anajua kuliko kila mtuNakubaliana nawe hapo kwenye bold na hilo truck inaelekea makaburini. Ila inaelekea neno business restructuring ni msamiati usioeleweka kwako.
Na dereva wake leseni yake kapatia mlango wa nyuma, Na tena hataki ushauri kuonyesha anajua kuliko kila mtu
Hapa kazi tu,
Ninyi endeleeni kuombea mabaya taifa letu.
Hata anaetumia nguvu nyingi kusukuma ukuta (ambao kwa mtindo wowote hautaanguka) nae hutoka jasho sawa na anaelima japo matokeo ya jasho lao ni tofauti.
Hapa Kazi tu bila kutumia maarifa haina mwisho mwema.
Kwa hiyo ni kosa kufufua mashirika ya serikali?
Shamba la Bibi ( nyanya) Kila mjukuu anachuma.Board ya wakurugenzi wa KQ imejaa wanasiasa wanaoendekeza ukabila..sasa hapo unategemea nini?
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.Kosa halipo kwenye kufufua, lipo kwenye namna huko kufufua kunavyofanyika. Kuwekeza kwenye biashara kabla hujafanya feasibility studies kwenye biashara ni kucheza patapotea ambapo una uhakika wa kupotea.
Kosa halipo kwenye kufufua, lipo kwenye namna huko kufufua kunavyofanyika. Kuwekeza kwenye biashara kabla hujafanya feasibility studies kwenye biashara ni kucheza patapotea ambapo una uhakika wa kupotea.
Achana na watu wapiga kelele, hajui lolote kuhusu biashara, hao ni watu waliosoma lakini wanatembea na vyeti barabarani, Maneno Mengi lakini kichwani hamna kitu. Kichwani mwake anahisi serikali yote iliyosheheni wasomi na wataalamu mbalimbali hawajui wanalolifanya, yeye ndio anajua kila kitu.Wewe una uhakika gani kuwa hakuna feasibility studies zilizofanyika?
Alafu hivi ukianza kufanya biashara faida utaanza kupata siku hiyo hiyo?
Boss, ukikosea kiri kuwa umekosea acha kujiumauma.Keyboard typing error Keyboard typing error Keyboard typing error
Achana na watu wapiga kelele, hajui lolote kuhusu biashara, hao ni watu waliosoma lakini wanatembea na vyeti barabarani, Maneno Mengi lakini kichwani hamna kitu. Kichwani mwake anahisi serikali yote iliyosheheni wasomi na wataalamu mbalimbali hawajui wanalolifanya, yeye ndio anajua kila kitu.
Una hakika wakulima wa korosho nao wana imani kama yako juu ya hao wasomi wako? We ndio bure kabisa, loh! Msomi sio lazima awe na elimuAchana na watu wapiga kelele, hajui lolote kuhusu biashara, hao ni watu waliosoma lakini wanatembea na vyeti barabarani, Maneno Mengi lakini kichwani hamna kitu. Kichwani mwake anahisi serikali yote iliyosheheni wasomi na wataalamu mbalimbali hawajui wanalolifanya, yeye ndio anajua kila kitu.