KQ and ATCL wanaelekea wapi?

KQ and ATCL wanaelekea wapi?

Ilipata matatizo ya kipesa na kibiashara kama KQ, tukaisimamisha hadi watakapojipanga upya, ninasikia wapo njiani kurejea wameshapata pesa. KQ ninasikia inauza ndege chakavu ili wapate pesa. Ila mjitahidi kutafuta ndege mpya na za kisasa, otherwise hakuna atapanda hayo madege ya kizamani, mtaendelea kupata hasara kama Fastjet.
ATCL imeshindwa kuruka nje ya Nchi yoyote kwa kuhofia Kukamatwa ili kulipa madeni...SI muziuze tu mulipe Madeni bana.😂😂😂
 
Imekufa kupisha atcl kama inavyo kufa kq kupisha atcl
KQ inaitua Oliver Tambo bila wasiwasi je ATCL?? Naskia tangu iwachiliwe hata betri ilitolewa isije ikapaa bila hiari...once bitten twice shy 🤣🤣🤣
 
Hapa kazi tu,
Ninyi endeleeni kuombea mabaya taifa letu.

Hata anaetumia nguvu nyingi kusukuma ukuta (ambao kwa mtindo wowote hautaanguka) nae hutoka jasho sawa na anaelima japo matokeo ya jasho lao ni tofauti.
Hapa Kazi tu bila kutumia maarifa haina mwisho mwema.
 
Kwa hiyo ni kosa kufufua mashirika ya serikali?

Kosa halipo kwenye kufufua, lipo kwenye namna huko kufufua kunavyofanyika. Kuwekeza kwenye biashara kabla hujafanya feasibility studies kwenye biashara ni kucheza patapotea ambapo una uhakika wa kupotea.
 
Akiondaka JPM. Na ATCL itaifuta KQ. Walaji NI wengi Sana waitamani
 
Acheni ujinga wa kufanya comparision wakat hata hela ya kula huna cha msingi mpambana utoke wewe kama wewe kwenye umasikini utaipunguzia mzigo nchi yako na sio kufanya comparision za kipuuz hey people amkeni
 
Kosa halipo kwenye kufufua, lipo kwenye namna huko kufufua kunavyofanyika. Kuwekeza kwenye biashara kabla hujafanya feasibility studies kwenye biashara ni kucheza patapotea ambapo una uhakika wa kupotea.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
 
Wewe una uhakika gani kuwa hakuna feasibility studies zilizofanyika?
Alafu hivi ukianza kufanya biashara faida utaanza kupata siku hiyo hiyo?

Achana na watu wapiga kelele, hajui lolote kuhusu biashara, hao ni watu waliosoma lakini wanatembea na vyeti barabarani, Maneno Mengi lakini kichwani hamna kitu. Kichwani mwake anahisi serikali yote iliyosheheni wasomi na wataalamu mbalimbali hawajui wanalolifanya, yeye ndio anajua kila kitu.
 
Keyboard typing error Keyboard typing error Keyboard typing error
Boss, ukikosea kiri kuwa umekosea acha kujiumauma.

Hiyo sio keyboard error, hiyo ni lugha gongana.

Keyboard error gani wakati A na U hazipo karibu? Ngoja nikuoneshe keyboard error.

eeror = error
trsck = track.

Wewe ni intapenuaa
 
Wao ni kupinga pinga tu alafu unakuta wakipanda Hizo ndege na selfie wanapiga kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na watu wapiga kelele, hajui lolote kuhusu biashara, hao ni watu waliosoma lakini wanatembea na vyeti barabarani, Maneno Mengi lakini kichwani hamna kitu. Kichwani mwake anahisi serikali yote iliyosheheni wasomi na wataalamu mbalimbali hawajui wanalolifanya, yeye ndio anajua kila kitu.
 
Achana na watu wapiga kelele, hajui lolote kuhusu biashara, hao ni watu waliosoma lakini wanatembea na vyeti barabarani, Maneno Mengi lakini kichwani hamna kitu. Kichwani mwake anahisi serikali yote iliyosheheni wasomi na wataalamu mbalimbali hawajui wanalolifanya, yeye ndio anajua kila kitu.
Una hakika wakulima wa korosho nao wana imani kama yako juu ya hao wasomi wako? We ndio bure kabisa, loh! Msomi sio lazima awe na elimu
 
Back
Top Bottom