KQ and ATCL wanaelekea wapi?

KQ and ATCL wanaelekea wapi?

Sasa nikiri nini hapo wakati ni keyboard error?
Ushawahi tumia hizi keyboard ambazo ukitype maneno hutokea yenyewe?
Boss, ukikosea kiri kuwa umekosea acha kujiumauma.

Hiyo sio keyboard error, hiyo ni lugha gongana.

Keyboard error gani wakati A na U hazipo karibu? Ngoja nikuoneshe keyboard error.

eeror = error
trsck = track.

Wewe ni intapenuaa
 
Sasa nikiri nini hapo wakati ni keyboard error?
Ushawahi tumia hizi keyboard ambazo ukitype maneno hutokea yenyewe?
Acha urongo, suggestions hutokea tu, hazijijazi, ni mpaka uipick. Kutype TRUCK na kupick TRUCK kwenye suggestion yote ni sawa. Haya tuyaache, ushakata tiketi au unaimba imba tu mapambio?
 
Wewe una uhakika gani kuwa hakuna feasibility studies zilizofanyika?
Alafu hivi ukianza kufanya biashara faida utaanza kupata siku hiyo hiyo?

Unless umekuwa usingizini tangu 2016. Wakati wa kupokea ndege za awali Matindi alitangaza kuwa wataandaa strategic plan ili kuhakikisha wanajiendesha kwa ufanisi. Jambo jingine; ilichukua muda gani hadi ndege kuanza safari za nje? Kwako wewe hayo mawili yanaashiria nini?
 
Hueleweki hata,
Kila kitu na utaratibu wake.
Unless umekuwa usingizini tangu 2016. Wakati wa kupokea ndege za awali Matindi alitangaza kuwa wataandaa strategic plan ili kuhakikisha wanajiendesha kwa ufanisi. Jambo jingine; ilichukua muda gani hadi ndege kuanza safari za nje? Kwako wewe hayo mawili yanaashiria nini?
 
Ila ni lazima awe amejaza mavi kichwani?
Anaweza akawa msomi lakini kichwa kitupu. Usomi na elimu ni vitu viwili tofauti. Ndio maana nakushangaa unapoamini hao binadamu wenzio hawawezi kukosea wakati tunayo mifano hai ya namna wanavyofanya maamuzi ya ajabu ajabu kila leo
 
Tatizo unaweza kuhisi ni maamuzi ya ajabu, kumbe wewe ndio wa ajabu. Kumbuka mlevi akimuona mwiyi akili timamu, humuona ni mtu wa ajabu.
 
Tatizo unaweza kuhisi ni maamuzi ya ajabu, kumbe wewe ndio wa ajabu. Kumbuka mlevi akimuona mwiyi akili timamu, humuona ni mtu wa ajabu.
Una haja ya gani ya kuhisi wakati vitu vyenyewe viko live? Akili zako umezihifadhi utumie baadaye nini?
 
Screenshot_2019-10-07 Home Twitter.png

Dreamliner ya pili ilivyonaswa na wapiga chabo leo asubuhi. Mazoezi ya kuruka hivi karibuni tu.
 
Sasa hivi haiitwi KQ,inatwa "zombie" a.k.a dead walking
 
Back
Top Bottom