KQ CEO ASHAONGEA, WENYE POVU KUJENI MZIMWAGE HUKU

KQ CEO ASHAONGEA, WENYE POVU KUJENI MZIMWAGE HUKU

Kumbe mh kiwete ndio mahindi mnayozungumziamnayozungumzia?sijapatawala kuona hiyo aina ya mahindi hapa Kenya.
endelea umuch know wa kikenya lakini nafaka na matunda mengi mna import from Tanzania. ilipigwa marufuku kusafirisha unprocessed maize kuja kuja kwenu huko mlilalamika sana . bahati nzuri watanzania hatuna roho mbaya kama wakenya. endelelea kupata organic food from tz

kitochi
 
Poa sana, ila wasikubali kununua ile ya bongo ambayo naskia wamechora twiga kwa mkaa ili kubana matumizi.
hehe jiwe hataree , anasema air "hostages" waltaka peleka ndege kule bondeni sauziiiii!!
 
endelea umuch know wa kikenya lakini nafaka na matunda mengi mna import from Tanzania. ilipigwa marufuku kusafirisha unprocessed maize kuja kuja kwenu huko mlilalamika sana . bahati nzuri watanzania hatuna roho mbaya kama wakenya. endelelea kupata organic food from tz
kitochi
As if it was a donation .
Hivi ukinunua mkate dukani imamaanisha kwamba mwenye duka anakulisha?
Kenya inanunua mazao yenu nanyi mnapata hela. Wacheni kusema mnalisha Kenya. You really bore
 
As if it was a donation .
Hivi ukinunua mkate dukani imamaanisha kwamba mwenye duka anakulisha?
Kenya inanunua mazao yenu nanyi mnapata hela. Wacheni kusema mnalisha Kenya. You really bore
Willing buyer willing seller,usipate taabu hawa Lumumba wanatuangusha kweli ligi ya kimataifa.
 
As if it was a donation .
Hivi ukinunua mkate dukani imamaanisha kwamba mwenye duka anakulisha?
Kenya inanunua mazao yenu nanyi mnapata hela. Wacheni kusema mnalisha Kenya. You really bore
sasa unataka upewe bure . omba msaada utapewa

kitochi
 
Willing buyer willing seller,usipate taabu hawa Lumumba wanatuangusha kweli ligi ya kimataifa.
sipo kwenye siasa za kibongo wala sishabikii opportunists wa kibongo . hawa wenyewe wajanja wajanja utaumia moyo wako bure . don't expect too much from politician

kitochi
 
Hela ya kununua chakula hamna mtaweza kununua ndege? Kanunueni mahindi mpeleke Turkana hatuwasaidii mahindi mengine tena.
kw hilo povu..naona umekunywa supu ya albino leo...

na mbna chakula wamepekekewa ikabidi bbc na cnn waregee makwao kisa hawana jipya tena
 
Haya mambo ya kumtukuza binadamu upuuzi .Tangu lini Magu mtaalam wa ndege?
Hilo jambo kwa kweli mkikosa kuwa makini litakuja kuwacost sana huko mbele. Huwa linanishangaza sana. Hakuna siku utawasikia wakenya wakisema eti rais U.K. amenunua ndege au eti U.K amejenga viwanda. Wakenya huwa wanaitaja KQ au waziri wa viwanda. Rais huwa anatajwa tu wakati kuna matukio ya maana. Kama akitia saini mkataba au akiwa na rais mwingine wakipanga za SGR au ujenzi wa kiwanda flani au barabara flani. Mnavokuza hawa miungu watu mtakuja kujivuruga bure. Maoni yangu tu.
 
Back
Top Bottom