Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
😱😁😂😂 wamechora kwa mkaa?hii aibu sasa.Poa sana, ila wasikubali kununua ile ya bongo ambayo naskia wamechora twiga kwa mkaa ili kubana matumizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😱😁😂😂 wamechora kwa mkaa?hii aibu sasa.Poa sana, ila wasikubali kununua ile ya bongo ambayo naskia wamechora twiga kwa mkaa ili kubana matumizi.
umesahau 2007 bila mh kikwete wangebaki wanyama maana mlikua zaidi ya wanyama mauaji hadi kwenye nyumba za ibadaCc#70 Demonic Republic of Tanganyika(DRT)haijawahi saidia Kenya mahindi!!!
Kumbe mh kiwete ndio mahindi mnayozungumziamnayozungumzia?sijapatawala kuona hiyo aina ya mahindi hapa Kenya.umesahau 2007 bila mh kikwete wangebaki wanyama maana mlikua zaidi ya wanyama mauaji hadi kwenye nyumba za ibada
kitochi
Haya mambo ya kumtukuza binadamu upuuzi .Tangu lini Magu mtaalam wa ndege?Good move, A220 ni ndege nzuri sana na magufuli hakukurupuka kununua airbus..
Ni mengi sana yakujifunza kutoka kwa uncle magu
endelea umuch know wa kikenya lakini nafaka na matunda mengi mna import from Tanzania. ilipigwa marufuku kusafirisha unprocessed maize kuja kuja kwenu huko mlilalamika sana . bahati nzuri watanzania hatuna roho mbaya kama wakenya. endelelea kupata organic food from tzKumbe mh kiwete ndio mahindi mnayozungumziamnayozungumzia?sijapatawala kuona hiyo aina ya mahindi hapa Kenya.
hehe jiwe hataree , anasema air "hostages" waltaka peleka ndege kule bondeni sauziiiii!!Poa sana, ila wasikubali kununua ile ya bongo ambayo naskia wamechora twiga kwa mkaa ili kubana matumizi.
As if it was a donation .endelea umuch know wa kikenya lakini nafaka na matunda mengi mna import from Tanzania. ilipigwa marufuku kusafirisha unprocessed maize kuja kuja kwenu huko mlilalamika sana . bahati nzuri watanzania hatuna roho mbaya kama wakenya. endelelea kupata organic food from tz
kitochi
Willing buyer willing seller,usipate taabu hawa Lumumba wanatuangusha kweli ligi ya kimataifa.As if it was a donation .
Hivi ukinunua mkate dukani imamaanisha kwamba mwenye duka anakulisha?
Kenya inanunua mazao yenu nanyi mnapata hela. Wacheni kusema mnalisha Kenya. You really bore
sasa unataka upewe bure . omba msaada utapewaAs if it was a donation .
Hivi ukinunua mkate dukani imamaanisha kwamba mwenye duka anakulisha?
Kenya inanunua mazao yenu nanyi mnapata hela. Wacheni kusema mnalisha Kenya. You really bore
sipo kwenye siasa za kibongo wala sishabikii opportunists wa kibongo . hawa wenyewe wajanja wajanja utaumia moyo wako bure . don't expect too much from politicianWilling buyer willing seller,usipate taabu hawa Lumumba wanatuangusha kweli ligi ya kimataifa.
Mimi si ombaomba. Maulana kanipa miguu na mikono. Hamna cha bure dunia hii. Mimi hufanya kazi usiku na mchana.Nikitegemea kulishwa nitakufa njaa!sasa unataka upewe bure . omba msaada utapewa
kitochi
sasa mbona unaulizia msaada wakati unajiwezaCc#70 Demonic Republic of Tanganyika(DRT)haijawahi saidia Kenya mahindi!!!
[emoji3][emoji3][emoji3]Poa sana, ila wasikubali kununua ile ya bongo ambayo naskia wamechora twiga kwa mkaa ili kubana matumizi.
Mbolo mbiliYou seem you are out of your senses, umesema first floor in watu ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
In school were you taught the differences between "r" and "l" ? Ama huko ndiko hata hukukanyaga?
Leo ndio nimeamini kwamba wewe huwa hauna uwezo wa kung'amua mambo virahisi zaidi ya ushabik wa peni mbili. Kwani ATCL ndio huwa inasimamia shughuli za kibiashara JNIA?
kw hilo povu..naona umekunywa supu ya albino leo...Hela ya kununua chakula hamna mtaweza kununua ndege? Kanunueni mahindi mpeleke Turkana hatuwasaidii mahindi mengine tena.
Hilo jambo kwa kweli mkikosa kuwa makini litakuja kuwacost sana huko mbele. Huwa linanishangaza sana. Hakuna siku utawasikia wakenya wakisema eti rais U.K. amenunua ndege au eti U.K amejenga viwanda. Wakenya huwa wanaitaja KQ au waziri wa viwanda. Rais huwa anatajwa tu wakati kuna matukio ya maana. Kama akitia saini mkataba au akiwa na rais mwingine wakipanga za SGR au ujenzi wa kiwanda flani au barabara flani. Mnavokuza hawa miungu watu mtakuja kujivuruga bure. Maoni yangu tu.Haya mambo ya kumtukuza binadamu upuuzi .Tangu lini Magu mtaalam wa ndege?