KQ has 40 Aeroplanes .ATCL has 4.

Vipi kuhusu share za KLM?
 
Aisee hii post itawekewa kikao huko pande za kisii hahaaaaae
Eti mtoto anayefanya vizuri shuleni na anapendwa na wazazi wake

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Bado ATCL inasafirisha nyuma ya mbuzi? πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii siku uhuru ni bora angebanjuka na mkewe mpaka saa 8 za mchana, ameacha usingizi wake kudamkia loss launching usiku mnene which last for two days πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜’

Ila aliwadanganya kuhusu hii route Mungu anamuona
 
haha ATCL enye inabeba watu wawili kutoka dar hadi entebe ndio ina mwelekeo?
 
ila ww mtoa MADA sijui ni mkenya wa aina gani ww leo hii watu wanazungumzia mataifa madogo yaungane ili kupiga hatua ktk uchumi ww unaleta vita vita ya mashirika ambayo bado ni machanga ,
 
ila ww mtoa MADA sijui ni mkenya wa aina gani ww leo hii watu wanazungumzia mataifa madogo yaungane ili kupiga hatua ktk uchumi ww unaleta vita vita ya mashirika ambayo bado ni machanga ,
hapana mimi nlikua nafahamisha ndugu zako ukweli kua Atcl bado ndogo sana kwa kq
 
hapana mimi nlikua nafahamisha ndugu zako ukweli kua Atcl bado ndogo sana kwa kq
hata iyo KQ bado ni mdogo maana wateja kibao wanalalamika kupotelewa kwa mizigo yao na vitu vyao hivyo bac mi sikuona usahihi wako wa hii mada japo una uhuru wa kuongea unacho taka ili mradi kisivunje sheria lkn pia ni vyema sana kukosolewa punde unapopindisha
 
 
ATA hauna aibu,yaani dirimulaina ya jiwe imekosa wateja sasa ina beba nyama kama pickup alafu unaleta huu upuzi[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wateja wagani wamecomplain? fikira zako peleka mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…