KQ has 40 Aeroplanes .ATCL has 4.

KQ has 40 Aeroplanes .ATCL has 4.

Nimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.

Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151
Vipi kuhusu share za KLM?
 
Hivi bado mnaendelea kulinganisha KQ na ATC??

Sikia nikwambie... KQ ni sawa na mtu mzima aliyepoteza muelekeo wa maisha na ATC ni sawa na mtoto ambaye anafanya vizuri sana shuleni na anapendwa sana na wazazi wake.

Huwezi kuwalinganisha hawa wawili unapoteza muda tu.
Aisee hii post itawekewa kikao huko pande za kisii hahaaaaae
Eti mtoto anayefanya vizuri shuleni na anapendwa na wazazi wake

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Bado ATCL inasafirisha nyuma ya mbuzi? 😀😀
😂😂😂 Hii siku uhuru ni bora angebanjuka na mkewe mpaka saa 8 za mchana, ameacha usingizi wake kudamkia loss launching usiku mnene which last for two days 😂😂😂😂😢
8e79a1397012b979176918d64d2bc7ae (1).jpeg

Ila aliwadanganya kuhusu hii route Mungu anamuona
 
Hivi bado mnaendelea kulinganisha KQ na ATC??

Sikia nikwambie... KQ ni sawa na mtu mzima aliyepoteza muelekeo wa maisha na ATC ni sawa na mtoto ambaye anafanya vizuri sana shuleni na anapendwa sana na wazazi wake.

Huwezi kuwalinganisha hawa wawili unapoteza muda tu.
haha ATCL enye inabeba watu wawili kutoka dar hadi entebe ndio ina mwelekeo?
 
ila ww mtoa MADA sijui ni mkenya wa aina gani ww leo hii watu wanazungumzia mataifa madogo yaungane ili kupiga hatua ktk uchumi ww unaleta vita vita ya mashirika ambayo bado ni machanga ,
 
ila ww mtoa MADA sijui ni mkenya wa aina gani ww leo hii watu wanazungumzia mataifa madogo yaungane ili kupiga hatua ktk uchumi ww unaleta vita vita ya mashirika ambayo bado ni machanga ,
hapana mimi nlikua nafahamisha ndugu zako ukweli kua Atcl bado ndogo sana kwa kq
 
hapana mimi nlikua nafahamisha ndugu zako ukweli kua Atcl bado ndogo sana kwa kq
hata iyo KQ bado ni mdogo maana wateja kibao wanalalamika kupotelewa kwa mizigo yao na vitu vyao hivyo bac mi sikuona usahihi wako wa hii mada japo una uhuru wa kuongea unacho taka ili mradi kisivunje sheria lkn pia ni vyema sana kukosolewa punde unapopindisha
 
😂😂😂 Hii siku uhuru ni bora angebanjuka na mkewe mpaka saa 8 za mchana, ameacha usingizi wake kudamkia loss launching usiku mnene which last for two days

Hii habari nimeifuatilia na walisema ni kawaida ktk industry ya aviation ku cancle flights nafikiri walitaka kujipa muda wa kujipanga zaidi vizuri lkn so far flights zipo kama kawaida
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hii siku uhuru ni bora angebanjuka na mkewe mpaka saa 8 za mchana, ameacha usingizi wake kudamkia loss launching usiku mnene which last for two days [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22]View attachment 991290

Ila aliwadanganya kuhusu hii route Mungu anamuona
ATA hauna aibu,yaani dirimulaina ya jiwe imekosa wateja sasa ina beba nyama kama pickup alafu unaleta huu upuzi[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1537469109226.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vituko uswahilini hahaha Tanzania kuna vituko ikija ndege viongozi kibao,kuweka jiwe maskani watamwalika rais wao. Tunanunua ndege wakati mashuleni wanao feli kibao, Bashite mmoja wao vyeti feki ajira hupeana wao kwa wao. Madafanta

Ndukiiiii🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
haha😂😂😂
 
hata iyo KQ bado ni mdogo maana wateja kibao wanalalamika kupotelewa kwa mizigo yao na vitu vyao hivyo bac mi sikuona usahihi wako wa hii mada japo una uhuru wa kuongea unacho taka ili mradi kisivunje sheria lkn pia ni vyema sana kukosolewa punde unapopindisha
wateja wagani wamecomplain? fikira zako peleka mbali
 
Back
Top Bottom