Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutaipiku Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ATCL inasafirisha nyuma ya mbuzi? 😀😀
Vipi kuhusu share za KLM?Nimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.
Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151
Umemjibu vizuri sana huyu pimbi, amekurupuka bila kujua maana ya neno sub-lease.Okay let me tell you in simple terms ..renting something that you have rented
So KQ hizo B777 sio zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha, umeshindwa kujenga hoja umegeukia kuwa mwalimu wa lugha.New brand au brand new?
Aisee hii post itawekewa kikao huko pande za kisii hahaaaaaeHivi bado mnaendelea kulinganisha KQ na ATC??
Sikia nikwambie... KQ ni sawa na mtu mzima aliyepoteza muelekeo wa maisha na ATC ni sawa na mtoto ambaye anafanya vizuri sana shuleni na anapendwa sana na wazazi wake.
Huwezi kuwalinganisha hawa wawili unapoteza muda tu.
ATC inatengeneza faida, hatukurupuki kwa lengo la kupata sifa za kijinga, hata ukitaka tuwasafishie mahindi ya msaada toka Dubai itabeba, muhimu pesa, hatuna sifa za kijinga kama ninyi.Bado ATCL inasafirisha nyuma ya mbuzi? 😀😀
Weka hizo profits hapa.ATC inatengeneza faida, hatukurupuki kwa lengo la kupata sifa za kijinga, hata ukitaka tuwasafishie mahindi ya msaada toka Dubai itabeba, muhimu pesa, hatuna sifa za kijinga kama ninyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Hii siku uhuru ni bora angebanjuka na mkewe mpaka saa 8 za mchana, ameacha usingizi wake kudamkia loss launching usiku mnene which last for two days 😂😂😂😂😢Bado ATCL inasafirisha nyuma ya mbuzi? 😀😀
haha ATCL enye inabeba watu wawili kutoka dar hadi entebe ndio ina mwelekeo?Hivi bado mnaendelea kulinganisha KQ na ATC??
Sikia nikwambie... KQ ni sawa na mtu mzima aliyepoteza muelekeo wa maisha na ATC ni sawa na mtoto ambaye anafanya vizuri sana shuleni na anapendwa sana na wazazi wake.
Huwezi kuwalinganisha hawa wawili unapoteza muda tu.
Klm owns 7% of KQ hawana sayVipi kuhusu share za KLM?
Boss hii news ni kweli ? hii news imenipita lkn kama ni kweli hakika ni pigo tuwaombee JIRANI yetu mpendwa arejee maana we love kenya
hapana mimi nlikua nafahamisha ndugu zako ukweli kua Atcl bado ndogo sana kwa kqila ww mtoa MADA sijui ni mkenya wa aina gani ww leo hii watu wanazungumzia mataifa madogo yaungane ili kupiga hatua ktk uchumi ww unaleta vita vita ya mashirika ambayo bado ni machanga ,
hata iyo KQ bado ni mdogo maana wateja kibao wanalalamika kupotelewa kwa mizigo yao na vitu vyao hivyo bac mi sikuona usahihi wako wa hii mada japo una uhuru wa kuongea unacho taka ili mradi kisivunje sheria lkn pia ni vyema sana kukosolewa punde unapopindishahapana mimi nlikua nafahamisha ndugu zako ukweli kua Atcl bado ndogo sana kwa kq
😂😂😂 Hii siku uhuru ni bora angebanjuka na mkewe mpaka saa 8 za mchana, ameacha usingizi wake kudamkia loss launching usiku mnene which last for two days
Hii habari nimeifuatilia na walisema ni kawaida ktk industry ya aviation ku cancle flights nafikiri walitaka kujipa muda wa kujipanga zaidi vizuri lkn so far flights zipo kama kawaida
ATA hauna aibu,yaani dirimulaina ya jiwe imekosa wateja sasa ina beba nyama kama pickup alafu unaleta huu upuzi[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii siku uhuru ni bora angebanjuka na mkewe mpaka saa 8 za mchana, ameacha usingizi wake kudamkia loss launching usiku mnene which last for two days [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22]View attachment 991290
Ila aliwadanganya kuhusu hii route Mungu anamuona
haha😂😂😂Vituko uswahilini hahaha Tanzania kuna vituko ikija ndege viongozi kibao,kuweka jiwe maskani watamwalika rais wao. Tunanunua ndege wakati mashuleni wanao feli kibao, Bashite mmoja wao vyeti feki ajira hupeana wao kwa wao. Madafanta
Ndukiiiii🏃♂️🏃♂️🏃♂️
wateja wagani wamecomplain? fikira zako peleka mbalihata iyo KQ bado ni mdogo maana wateja kibao wanalalamika kupotelewa kwa mizigo yao na vitu vyao hivyo bac mi sikuona usahihi wako wa hii mada japo una uhuru wa kuongea unacho taka ili mradi kisivunje sheria lkn pia ni vyema sana kukosolewa punde unapopindisha
ndio inaexist tanzania tuTuheshimiane basi. Hii culture ya wananchi kwenda kupokea ndege bado inaexist hadi 21st century?
Sent using Jamii Forums mobile app