Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
Unajengaje hoja kwenye ambiguity? Halaf mimi wala simo kwenye huo ubishani wenu wa Kenya Airways na Tanzania Airways. Mimi ni Mtanzania, ninachokiri tu ni kwamba shirika la wenzetu liko mbele kuliko letu, kubisha katika hilo ni uzembe, lazima ukubali kwanza weakness ujifunze kwa waliofanikiwa then ukomae, ukianza kung'aka tu kwamba wewe ni mkali kuliko yeye wakati anakuzidi utakuwa ujuha!Hahahahaha, umeshindwa kujenga hoja umegeukia kuwa mwalimu wa lugha.
Sent using Jamii Forums mobile app