KQ has 40 Aeroplanes .ATCL has 4.

KQ has 40 Aeroplanes .ATCL has 4.

Hahahahaha, umeshindwa kujenga hoja umegeukia kuwa mwalimu wa lugha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajengaje hoja kwenye ambiguity? Halaf mimi wala simo kwenye huo ubishani wenu wa Kenya Airways na Tanzania Airways. Mimi ni Mtanzania, ninachokiri tu ni kwamba shirika la wenzetu liko mbele kuliko letu, kubisha katika hilo ni uzembe, lazima ukubali kwanza weakness ujifunze kwa waliofanikiwa then ukomae, ukianza kung'aka tu kwamba wewe ni mkali kuliko yeye wakati anakuzidi utakuwa ujuha!
 
Hivi bado mnaendelea kulinganisha KQ na ATC??

Sikia nikwambie... KQ ni sawa na mtu mzima aliyepoteza muelekeo wa maisha na ATC ni sawa na mtoto ambaye anafanya vizuri sana shuleni na anapendwa sana na wazazi wake.

Huwezi kuwalinganisha hawa wawili unapoteza muda tu.
nyongeza hapo mkuu na hao wazazi wake 2020 wanastafu labda waongezewe 5yrs na mtoto atakua bado hajaanza shule ya msingi😆😆😆😆
 
Hahahahaha KQ wamefanikiwa?, nenda kanye kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ni nani amekwambia tunanunua ndege ili kushindana na Kenya airways? Tunanunua ndege ili kuboresha Uchumi wetu kwa kuongeza Utalii na vile vile ajira kwa Watanzania, hivyo hata kama Kenya airways ina ndege 1000 haijalishi kwetu!
Wapo insecured! hawajiamini. Kipimo chao ATCL 😀
 
Unajengaje hoja kwenye ambiguity? Halaf mimi wala simo kwenye huo ubishani wenu wa Kenya Airways na Tanzania Airways. Mimi ni Mtanzania, ninachokiri tu ni kwamba shirika la wenzetu liko mbele kuliko letu, kubisha katika hilo ni uzembe, lazima ukubali kwanza weakness ujifunze kwa waliofanikiwa then ukomae, ukianza kung'aka tu kwamba wewe ni mkali kuliko yeye wakati anakuzidi utakuwa ujuha!
nyongeza hapo mkuu na hao wazazi wake 2020 wanastafu labda waongezewe 5yrs na mtoto atakua bado hajaanza shule ya msingi😆😆😆😆
Hahahahaha KQ wamefanikiwa?, nenda kanye kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana.. - JamiiForums
Wapo insecured! hawajiamini. Kipimo chao ATCL 😀
Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana.. - JamiiForums
 
Ndiyo, wamefanikiwa ukilinganisha na sisi. Otherwise shirika pekee la ndege linalojiendesha kwa faida Afrika ni Ethiopian Airline. Na unapojadili na mtu usiyefahamiana naye jaribu kutumia maneno ya staha.
Hivi mtu aliyeanzisha biashara miaka arubaini iliyopita, baadae biashara ikaanza kuyumba na kupata hasara, na mtu anayeanzisha biashara sasa hivi na unafanya vizuri, nani anapaswa kwenda kujifunza kwa mwengine ili afanikiwe?.

Mimi ninadhani Tanzania inapaswa kujifunza makosa ya KQ ili isiyafanye na kusababisha ATC kukwama, ila kama Tanzania inahitaji kujifunza ili kufanikiwa, Ethiopia ndiye mwalimu husika, huwezi kwenda kujifunza kwa mtu aliyeshindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo, wamefanikiwa ukilinganisha na sisi. Otherwise shirika pekee la ndege linalojiendesha kwa faida Afrika ni Ethiopian Airline. Na unapojadili na mtu usiyefahamiana naye jaribu kutumia maneno ya staha.

Inabidi utueleze vizuri kivipi hawa ndugu zetu wametupita.. maana ukweli ni kuwa ATC ni kama wameanza upya... clean slate.. na hawana hata miaka mitano.. sasa kulinganisha biashara iliyoanza juzi na biashara iliyopo zaidi ya miaka 10 naona sio sawa.. au unless umetumia criteria nyingine tungependa utusaidie...
 
Kusheherekea route nayo ndio ujanja?
Ushamba ni kuwacha Kazi uende kushangilia ndege na hata baskeli huna...wewe ushawahi waona waarabu wakikimbia Airport kupokea ndege mpya ya Emirates???

Washamba nyinyi halafu kwenye Huo uzi angalia mara ngapi KQ na KENYA imetajwa...povu ruksa.
 
Nimeona mahali watanzania wanasema KQ wana lease ndege,Nikajua kingereza kweli kigumu Bongo hawaelewi meaning ya "lease out" KQ imelease out ndege zake tatu .moja leased to Turkish Airlines na itarudishwa this year ingine mbili to oman airlines na zinarudi mwaka huu.

Wabongo naona kingereza ni ngumu sana kwenuView attachment 991151
Usiseme watanzania. Mtaje aliyesema. Mbona sisi huwa tunaambiwa wanaume wa kenya wanapigwa na wake zao, lakini kwa kuwa hiyo ni general statement hatuiandiki hapa. Hata mie sijaindika ila nimetoa mfano tu!!!!
 
kaka walikua wengi
 
Hivi bado mnaendelea kulinganisha KQ na ATC??

Sikia nikwambie... KQ ni sawa na mtu mzima aliyepoteza muelekeo wa maisha na ATC ni sawa na mtoto ambaye anafanya vizuri sana shuleni na anapendwa sana na wazazi wake.

Huwezi kuwalinganisha hawa wawili unapoteza muda tu.

Mfano halisi kwa kutumia maneno yako ni huu:

KQ ni mtu mzima aliekutana na changamoto; zinamsumbua lakini anajua cha kufanya ili kukabiliana nazo. Anaweza asifanikiwe immediately lakini angalau anajua tatizo linalomkabili. On the other hand, ATCL ni mtoto alielelewa vibaya na wazazi wake, hana ajualo japo baba yake ana-commit resources lukuki akiamini kuwa kwa kuwa anampenda mtoto basi mtoto atabadilika.
 
Ushamba ni kuwacha Kazi uende kushangilia ndege na hata baskeli huna...wewe ushawahi waona waarabu wakikimbia Airport kupokea ndege mpya ya Emirates???

Washamba nyinyi halafu kwenye Huo uzi angalia mara ngapi KQ na KENYA imetajwa...povu ruksa.

[emoji23][emoji23][emoji23]ila nimeshawahi kuona rais mmoja sijui wa wapi anaenda kuzindua route mpya ya shirika la ndege wakati haijafanyiwa tathmini kama italeta faida,matokeo yake wiki moja tu route ikavunjwa[emoji23][emoji23][emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ila nimeshawahi kuona rais mmoja sijui wa wapi anaenda kuzindua route mpya ya shirika la ndege wakati haijafanyiwa tathmini kama italeta faida,matokeo yake wiki moja tu route ikavunjwa[emoji23][emoji23][emoji1322]‍[emoji3603][emoji1322]‍[emoji3603].
Hahahahahahaha, akirudi atakua lazima ni from Gikuyu kingdom.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ila nimeshawahi kuona rais mmoja sijui wa wapi anaenda kuzindua route mpya ya shirika la ndege wakati haijafanyiwa tathmini kama italeta faida,matokeo yake wiki moja tu route ikavunjwa[emoji23][emoji23][emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️.
vipi, ndege ishafika au bado?
 
Back
Top Bottom