KQ: Kenya airways- Wateja wa tanzania ni 3.9% ya wateja wote, + mengineyo

Nyie watumwa wa marekani nendeni mkapeleke uchafu yaani kutukanwa kote huko bado mnashangiria eti kQ imefanikiwa puuuuuh kenya ni hole of shit
[emoji28] [emoji27] [emoji28] [emoji28] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Walisema pesa ni sabuni ya roho. Watalii humo humo ndani pamoja na wabeba boksi wa kitanzania, safari hadi Mericah!
 
Hata hiyo 3%-8% market share si kitu kidogo maana KQ bado ina-make loss! ET n fly Dubai n other middleEast airlines wanawanyorosha KQ.
 
Hivi siku hizi KQ ina break-even kweliiii....

At least leo mmekubali kuwa Tanzania ni soko lenu ktk aviation kwa hiyo endeleeni kusali Tanzania airline isifufuke wala kuimarika maana it will surely become one of de major blow you have never encounter from Tz
 
Ouch! This must be hurting for our fellas down south, hehehehe.....
 
When Turkish wanted to enlarge his operations and ask for his aircrafts that day KQ will start to fly mikokoteni to New York

Libombandia liliwa mazima mazima, mnatia aibu nyie watu, tatizo mpo wazembe hamjui kusoma mikataba kingereza kinawachanganya. Mnaliwa kuanzia kulia hadi kushoto....mnunue nyingine na kuirusha nje mshangae itakavyokua imesubiriwa...hehehehe
 
Si bora hata sisi tunachochakushikiliwa nyie mnamiliki mikataba tu ya leasing ndege zina wenyewe wametulia mpate hasara mpate faida pesa ya aircraft-lord inahitajika.

From 1970s mpo pale pale including free east Africa airways aircrafts ambazo mlichukua bure but up-to-date you own nothing more than leasing documents.
 
Libombandia liliwa mazima mazima, mnatia aibu nyie watu, tatizo mpo wazembe hamjui kusoma mikataba kingereza kinawachanganya. Mnaliwa kuanzia kulia hadi kushoto....mnunue nyingine na kuirusha nje mshangae itakavyokua imesubiriwa...hehehehe
Hehe noma mazee, ushauri wa buree kwao, dawa ya deni ni kulipa tu[emoji3] magu naskia huwa anapiga simu kila siku ikulu ya canada akiomba bombadia lake liachiwe ili iwe kama ishara ya urafiki kati ya tz na canada, walisha mblock huko![emoji191] [emoji241]
Anyways richard quest pale cnn naona anazidi kutupa promo ya bureee, alaf anasema wataicover inugural flight siku hiyo!! Ni sheeeedahhhh[emoji122] [emoji122] [emoji95] [emoji119] [emoji3] [emoji125]

KQ hoyeeeee
 
New develoments, CNN doing promo work for Kenya and KQ! Hii wabongo watakubali tu, bila hata ya kushurutishwa.
 
KQ will carry the people that will go to salvage the bombardier that's grounded in Canada.

Hahaha....mtatii.
The problem with KQ is cost effectiveness,
Hata hivyo,
Why Not Ethiopia Airlines with affordable prices, of South African Airways
 
The problem with KQ is cost effectiveness,
Hata hivyo,
Why Not Ethiopia Airlines with affordable prices, of South African Airways
Without forgeting the most affordable of them all Air tanzania baby[emoji3] [emoji122] [emoji241] [emoji191]
 
We have more than 10 months to start that operation sasa unafikiri watu hawana shughuli za kufanya all that decades they think about lossmaking airline?
 
Without forgeting the most affordable of them all Air tanzania baby[emoji3] [emoji122] [emoji241] [emoji191]
Sure, the problem with KQ is all the money they generate goes to Aircraft Lords, (the owners),
Hii imepelekea shirika kujiendesha kwa hasara na ili ku compersate inabidi prices ziwe juu,
Ila pia KQ services are Very poor!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…