REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Short and simple answer serikali ya Kenya ina 48.9% kwenye KQ period.Kenya govt 49% ,38% ya local banks through consortium ya kenya airways lenders company, klm na air france about 7% so generaly KQ inamilikiwa about 87% na wakenya. Kwa habari zaidi Banks, Kenyan Gov’t Now Own 87% of Kenya Airways – Red Pepper Uganda