Short and simple answer serikali ya Kenya ina 48.9% kwenye KQ period.Kenya govt 49% ,38% ya local banks through consortium ya kenya airways lenders company, klm na air france about 7% so generaly KQ inamilikiwa about 87% na wakenya. Kwa habari zaidi Banks, Kenyan Gov’t Now Own 87% of Kenya Airways – Red Pepper Uganda
38% umetoa wapi?Short and simple answer serikali ya Kenya ina 38.9% kwenye KQ period.
Haha Tanzania route inamake only 4% ya KQ traffic tafta jingineTutakachofanya ni kuwafungia ata mstue dar, arusha, mbeya, mwanza afu tuone jeuri mnatoa wap
I meant 48.9% typo shut up.38% umetoa wapi?
Si huwa mnapiga kelele hapa eti KQ inamilikiwa na KLM habari ushapataI meant 48.9% typo shut up.
Mlipata uchizi kikwete alivyoban landing of KQ Tanzania wakati mkizuia magari ya watalii yasiingie Jomo airport, mlitii immediately sababu you were about to collapse completely.Haha Tanzania route inamake only 4% ya KQ traffic tafta jingine
una hamia KenyaHivi nikitaka kumuunfa mkono kenyata kwa kazi nzuri na mimi ni mtanzania nafanyaje?
Majority of the stakes distribution shows company is largely owned by the private sector sadly enough ni mikataba tu ya leasing means your company is inside the briefcase.Si huwa mnapiga kelele hapa eti KQ inamilikiwa na KLM habari ushapata
I meant 48.9% typo shut up.
Of course your assets value in the company is zeroPathetic attention seeker, yeah Kenyan government is majority shareholder, followed by Kenyan banks, hao wazungu wako wamebaki na hisa chache sana.
Nyie hadi ndege imenyakuliwa mlivyo mivivu.
jiunge jubilee[emoji23][emoji23]Hivi nikitaka kumuunfa mkono kenyata kwa kazi nzuri na mimi ni mtanzania nafanyaje?
Haha aisee ,hongera sana bro kwa kutudadavulia kwa umakini sana tatizo la KQ. Sasa tueleze tatizo la air tanzania ni lipi, shirika limekuwa kwa zaidi ya miaka 35 lakini halina chochote cha kuonyesha, isipokuwa matamko ya hapa na pale ya ,tutanua bombadia sijui dreamliner...uwanja ni wakoSure, the problem with KQ is all the money they generate goes to Aircraft Lords, (the owners),
Hii imepelekea shirika kujiendesha kwa hasara na ili ku compersate inabidi prices ziwe juu,
Ila pia KQ services are Very poor!
Haueleweki, andika kiswahili tu mtanganyika inakubalika na utaeleweka vema zaidi, "all that decades " yafaa all those decades, " they think about lossmaking airline" ni ,they thought about the loss making airline.We have more than 10 months to start that operation sasa unafikiri watu hawana shughuli za kufanya all that decades they think about lossmaking airline?
Nyie hadi ndege imenyakuliwa mlivyo mivivu.
Acha kujitoa akili, mbona umeelewa.Haueleweki, andika kiswahili tu mtanganyika inakubalika na utaeleweka vema zaidi, "all that decades " yafaa all those decades, " they think about lossmaking airline" ni ,they thought about the loss making airline.
Jipange urudi tena upya.
Hamtatua bongo kabsa etiHaha Tanzania route inamake only 4% ya KQ traffic tafta jingine
Hahaha you fool you can't teach me English maybe try to teach me how to poo inside bags and fly them on air, that can be used to describe plurality and think can be used anywhere after all I speak the way I want whatsoever comes out of my mind I pour out am not here to worry some kunyan will moderate my language nah that nah me mungiki you lostHaueleweki, andika kiswahili tu mtanganyika inakubalika na utaeleweka vema zaidi, "all that decades " yafaa all those decades, " they think about lossmaking airline" ni ,they thought about the loss making airline.
Jipange urudi tena upya.
Hahaha mkenya akichapwa kisawasawa na mtanzania humu ndani huwa wanakimbilia kwenye English hahaha tumewazoea ila hapa katokota sindano zake zipo palepaleAcha kujitoa akili, mbona umeelewa.