KQ: Kenya airways- Wateja wa tanzania ni 3.9% ya wateja wote, + mengineyo

Data umepewa na unapinga sa utasaidiwaje
 
It is actually the other way round.. Kenya airways ndo ili lease ndege zake tatu to turkish and Omani airways , sasa vile tumepata route mpya tutawaambia waturegeshee wenyewe tuko na matumizi nazo
 
Kila soko ni muhimu hata abiria wawe wangapi, juzi CEO wa KQ alisafiri hadi zimbabwe na akapeana interview huko, ukiangalia route yenyewe haiko hata kwa top 10. Its not just about traffic, kila route ni muhimu, kama vile mwenye duka, kila mteja ni muhimu hata kama wengine kazi yao kununua Big G kila siku....
 
Now you're talking. Na hii ndio mantiki yangu. Kwa maana hii unatakiwa urekebishe pale uliposema kenya haitayumba kama KQ ikifungiwa kufanya kazi tz.
 
Reactions: Oii
Now you're talking. Na hii ndio mantiki yangu. Kwa maana hii unatakiwa urekebishe pale uliposema kenya haitayumba kama KQ ikifungiwa kufanya kazi tz.

Tutapata huzuni ya kukoksa mteja, kama ilivyo kawaida ya biashara zote, unapompoteza mteja, lazima uhisi ovyo, lakini kama mteja mwenyewe siku zote ana tabia na wivu wa kike na maringo na majigambo na mikwara na asiyetabirika wala kueleweka ilhali ukiangalia kwenye mapato unakuta asilimia yake ni ndogo sana (negligible), basi unamwondolea mbali ili udumishe mibaba ya biashara.

Sasa nyie hizo sifa zote mbaya mnazo, lakini tatizo tumeunganishwa na nyie kwenye kiuno, hivyo inabidi kuwavumilia tu, ni kama kwamba kijijini uwe na ndugu yako mkubwa, ambaye ni mzembe, mzushi, mwenye wivu siku zote na asiyejiamini na huzua ugomvi kwa kila kitu na kila akiona unafanya maendeleo anakerwa, sasa unakua huna jinsi maana ni kakako na utaendelea kuishi naye mkao wa kumkwepa kwepa tu ilmradi siku zisonge.
 
Heeeee we jamaa umenichekesha sana hadi mbavu zinauma! Eti kama mteja ana nini mnamwondolea mbali? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]


Kati ya siku umeandika upupu ni leo. KQ hawana ubavu wa kusitisha safari zake hapa, ndiyo maana hata tukikohoa tu uhuru atakimbia hapa mbio mbio kupiga magoti. Kibano cha maziwa tu kimewatoa machozi sembuse ndege!
 
Customer is always right, ukipoteza mteja ina maana umeshidwa kutoa huduma bora kwa huyo mteja. Ingekuwa kila kampuni duniani inafikiria kama wewe, hakuna mtu angefanya nao biashara.
 

Narudia tena, hakuna mwanabiashara huwa tayari kumpoteza mteja yeyte hata kama ni mteja aina ya bumbumbu. Mimi hapa ni mwana biashara, kuna wateja kisirani kwa kwenda mbele, huwa nawakenulia meno na kuwatabasamia lakini kimoyomoyo nakua nachukia balaa.

Rais wetu Uhuru anaongoza nchi ya kibepari na sio ulemavu wa kijamaa, hivyo akiona sehemu yoyote tunaelekea kupoteza wateja, lazima ashuke ili kupooza kiburi chenu mjione nyie ndio wenye dunia, nyie desturi ya kijamaa huwa inawafanya muwe na matatizo ya kiakili na kufanya vituko kama kutia vifaranga kiberiti.

Sasa hayo matatizo ya kutokujua namna ya kufanya biashara bila kiburi ndio yamesababisha mpo maskini wa kutupwa hadi leo pamoja na kwamba nchi yenu ina raslimali zinazoweza kuwafanya muongoze Afrika kwa utajiri.
 
Nilijua tu hapa lazima mtu akanunue omo amwage povu pwwaaaaaaa!!!! Maana naona vifaranga vinawatesa sana! Lol Naona magu kawatesa kweli kisaikolojia mnawayawaya.

Halafu unasema tz ni maskini kwa sababu hatujui kufanya biashara? Utakuwa unaota ndoto za mchana huku unaendesha gari. Rudi usome upya, matatizo ya tz hayakusababishwa na suala la eti hatujui kufanya biashara. Ni vitu vingine kabisa.

BTW, unapayuka hapa eti nyie mnajua kufanya biashara! Hiki ni kituko cha mwaka. Mbona hata kwenye orodha ya mabilionea 25 wa kiafrica wa mwaka 2017 sioni mkenya hata mmoja? Ilhali tz inaye ikiwakilisha huu ukanda wa africa mashariki na kati?

The African Billionaires 2017

Kitu ambacho mnatuzidi ni rushwa sio biashara.
 

Hamna chochote hapa kinachoweza kusababisha nitokwe na povu, tatizo mkiambiwaga ukweli mnaona kama mtu anawachukia au ana hasira na nyie.

Ni wazi kuna Mtanzania mmoja mmoja ambaye hakulemazwa na uvivu ulioletwa na ujamaa, kwa mfano huyo Mhindi bwana Dewji, yeye kajinasua, lakini nchi yote ina raslimali ambazo zingewafanya mtawale Afrika, tatizo ujamaa ukawafanya muwe watu wa majungu, chuki chuki, wazembe, washirikina mkaishia kutajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa, mumeshindwa kabisa kutoka hapo, hata kizazi hiki cha leo bado mpo kwenye hilo shimo la aibu hadi mnanyang'anywa ndege na kutia aibu Afrika yote.
 
hehehe 😱😀
 


Povu linakutoka kweli kweli sema hukubali tu.
Kwanza tambua kuwa taifa linajengwa na mtu mmoja mmoja, hivyo ukiona kuna watu wenye maendeleo makubwa ujue taifa pia lina maendeleo makubwa.

Kwenye orodha ya mabilionea mmetoka kapa, hata ukiongeza hiyo list ifike 50+, bado tunawazidi.

Haya hii hapa tena orodha ya wajasiliamali vijana bora kabisa hapa Africa. Napo tunawapiga fimbo.

30 Most Promising Young Entrepreneurs In Africa 2017

Sasa sijui hiyo biashara unayojidai eti mnajua inafanyika wapi ambapo dunia haiwaoni na kuwaweka kwenye orodha!

Nasubiri povu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
It is actually the other way round.. Kenya airways ndo ili lease ndege zake tatu to turkish and Omani airways , sasa vile tumepata route mpya tutawaambia waturegeshee wenyewe tuko na matumizi nazo
na mmelipa deni la Egypt n US Afriexim banks la ndege za dreamliners?
 
IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi
IMF yasifia tena kuinuka kwa uchumi Kenya, mapato na pato yanaongezeka kwa kasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
It is actually the other way round.. Kenya airways ndo ili lease ndege zake tatu to turkish and Omani airways , sasa vile tumepata route mpya tutawaambia waturegeshee wenyewe tuko na matumizi nazo
Hahaha do you know the meaning of sublease??
 
Wakenya wanamuogopa sana jpm ndio maana faster wameanzisha route ya US ilitutakaposhusha zetu waseme tumeiga wao.
Kaeni kwa ushindani zinakuja zipo njiani mamaeeee na jpm kasema TZ to US, TZ TO CHINA, TZ TO LONDON.
Mtanyooka kipindi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…