kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,177
- 1,721
Kenya iliapply US flights karibia miaka 7 iliopita.barani ni nchi sita tu zinazo operate flights kuelekea Marekani..good luck....you will need it...Wakenya wanamuogopa sana jpm ndio maana faster wameanzisha route ya US ilitutakaposhusha zetu waseme tumeiga wao.
Kaeni kwa ushindani zinakuja zipo njiani mamaeeee na jpm kasema TZ to US, TZ TO CHINA, TZ TO LONDON.
Mtanyooka kipindi hiki
Hamia kenya.Hivi nikitaka kumuunfa mkono kenyata kwa kazi nzuri na mimi ni mtanzania nafanyaje?
Ndoto kama hizi ndo huwa zinafanya mtu ajitie kitanzi akishaamka. Watz bana eti JPM kasema 😀 amka kijana ahadi za kampeni ndo mlizinguliwa nazo. We unadhani ni kazi ya siku mbili? Imechukua Kenya miaka saba kukubaliwa kuoperate kwenye route hiyo. Quality ya pale JKIA wamekuwa wakiitathmini kwa siku nyingi sana. We bado una matumaini na hapa kazi tu? Umenikumbusha zile nyimbo za zilizopendwa.....miaka yaenda haraka sana, na sura ya tz inazidi ikichuchuka, ooh baby! 🙂Wakenya wanamuogopa sana jpm ndio maana faster wameanzisha route ya US ilitutakaposhusha zetu waseme tumeiga wao.
Kaeni kwa ushindani zinakuja zipo njiani mamaeeee na jpm kasema TZ to US, TZ TO CHINA, TZ TO LONDON.
Mtanyooka kipindi hiki
lakini Ethiopia inamake stops Togo so sio direct kama kq...Kenya iliapply US flights karibia miaka 7 iliopita.barani ni nchi sita tu zinazo operate flights kuelekea Marekani..good luck....you will need it...