Tetesi: KQ kuuza Dirimulaina 6 na boeing 777 moja baada ya kushindwa kulipa mkopo

Mwanaume aliekamilika anatoa wapi chuki za kishamba [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo muda unaopoteza kumchukia mtu asiyekujua unautoa wapi.
Nimchane live for what?

Sina muda wa kupoteza mzee.

Its not my job to counsel others!

Mwanaume aliekamilika hana chuki?

Unadanganya watoto hapa?
 
Mwanaume aliekamilika anatoa wapi chuki za kishamba [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo muda unaopoteza kumchukia mtu asiyekujua unautoa wapi.

Chuki yangu sio ya kishamba!

Ni ya kishamba kutokana na ubongo wako binafsi!

Which is okay maana una uhuru wa maoni!

Still unachosema ni maoni!

Hanijui,ila namchukia!

Namchukia yeye,watu wake,anavyofikiri,anachoongea,etc!

I just hate the nigga!

Usinipangie!

Jipangie mwenyewe!

Mpende wewe,unaruhusiwa!

Mimi usinipangie kabisa na sitaki ushauri wala maoni yako!
 
Sasa hizo chuki zako huwa unaandika za nini humu?
Niandikie insha hapo chini [emoji23][emoji23][emoji23]
Chuki yangu sio ya kishamba!

Ni ya kishamba kutokana na ubongo wako binafsi!

Which is okay maana una uhuru wa maoni!

Still unachosema ni maoni!

Hanijui,ila namchukia!

Namchukia yeye,watu wake,anavyofikiri,anachoongea,etc!

I just hate the nigga!

Usinipangie!

Jipangie mwenyewe!

Mpende wewe,unaruhusiwa!

Mimi usinipangie kabisa na sitaki ushauri wala maoni yako!
 
Hali inaendelea kuwa mbaya zaidi.

============
Kenya Airways to Earn Billions in Sale of 7 Aircraft
businessdailyafrica.com
Sep 20, 2019 11:44 AM
Kenya Airways chairman Michael Joseph

Kenya Airways chairman Michael Joseph. FILE PHOTO | NMG
Kenya Airways #ticker:KQ is selling seven planes and an engine in a multi-billion shilling deal that marks the carrier’s latest efforts to reduce its fleet in a bid to shore up its financial position.
The loss-making carrier has hired UK-based Air Partner to guide it in the planned sale of the six Boeing 787-8 Dreamliner planes, one Boeing B777-300 and a spare GE engine at a time when a shortage of pilots is forcing the airline to cancel flights and trim routes.

Kenya Airways (popularly known as KQ) will lease back the aircraft after selling them, according to contract documents between the airline and Air Partner seen by the Business Daily, signalling that it does not intend to see the plane sale hurt its routes.
“Kenya Airways is conducting a series of sale and leaseback transactions covering 6 x B787-8, B777-300 and GEnx spare engine,” said the contract document.

“KQ has requested Air Partner to conduct a desktop review addressing a series of questions around these sale and leaseback transactions.”
The Nairobi bourse listed airline had a fleet of 41 airplanes at the end of last year, comprising a mix of Boeing planes for long-haul and Bombardier and Embraer planes on its short and medium haul flights. Its rival Ethiopian Airlines operates more than 100 planes.
A new 787-8 Dreamliner goes for $206.8 million (Sh21.49 billion) according to a price guide by global aviation website Aircraft Compare.
Ageing fleet
KQ in 2011 signed a deal for the purchase of nine 787-8 Dreamliner planes with Boeing to replace its ageing fleet and expand routes and flight frequencies.
It received the first Dreamliner plane, which is famed for its fuel efficiency, in 2014.
A used General Electric (GE) aircraft engine is expected to fetch hundreds of millions of shillings, with the price of most new ones topping the Sh1 billion mark.
Kenya Airways declined to respond to three e-mails from the Business Daily over the plane sale.
Restructuring its fleet, including selling aircraft and sub-leasing to other airlines has been one of KQ’s focus areas in recent years as it seeks to return to profitability.
Its fleet size has been dropping since 2015 in a period that has seen Kenya Airways struggle to return to profitability after making steep losses in 2014, causing some of its engineers and pilots to seek greener pastures.
It had 52 airplanes in 2015 and the fleet dropped to 39 in 2017 before rising to 41 last year.
The airline has been forced to cancel dozens of flights due to a shortfall in the required pilot numbers.
Flight cancellations
In the first two weeks of last month, the airline suffered 91 flight cancellations, of which 68 flights or 74 percent were due to pilot shortage, its internal memo showed.
Kenya Airways said it will be forced to cancel more flights in the weeks ahead due to the shortages as it faces opposition from pilots union to hire 20 fliers on contract.
The national carrier had earlier in the year announced a plan to double its fleet over the next five years.
KQ is working on a process that will lead to its nationalisation, eyeing future success. Lawmakers voted to re-nationalise it in July.
Mlikua mnasema KQ ina ndege tatu sasa hizo zote zatoka wapi tena?
 
Unajifanya mjuaji baada ya hasara zenu wakenya [emoji23][emoji23][emoji23] ATCL inamiliki ndege zake bro, kwanza hatuna shida na mindege mikubwa kama mlokua nayo nyie ilowapa hasara, cc vndege vyetu vudgo na zinaenda nchi chache tu ambazo ndo wageni wetu wakubwa hapa nchini nadhan ni nchi 13 tu africa, na nchi kama india na pia china na london very soon with just such a small fleet. Nyie mumekopa mandege makubwa kibaaoo na abiria hamna [emoji23][emoji23][emoji23] afu mnauza ndege za watu kwenda kulipa deni. Sisi hata tukipata hasara tutauza ndege na pesa ni yetu tutafanyia mambo mengne but hatuta uza ili kuwapa pesa watu wengne kama ninyi. Kwahy mzee wetu katumia akili kuanza mdgo mdgo hajakurupuka kama nyie.
Who believe in anything Jiwe is doing?

The dude’s bogus!

ATCL ni mtambo wa kutengeneza hasara,huo ndio ukweli mchungu sana!

Kalagabaho!
 
Naona umeshanipa uraia wa Kenya!

Very funny!

Mengine yote uliyoongea ni nonsense!

Ukubwa ndege,sijui ndege mnamiliki wenyewe kwa hela cash,sijui nini na nini ni hoja za hovyo sana!

Kinachoangaliwa ni hiki:

ATCL unajenga faida as we speak?Jibu ni hapana!

ATCL ina pump hasara jumlisha hasara tangu mwanzo,sasa na hadi infinity!

Hayo ya umiliki,sijui cash,sijui Jiwe,sijui safari fupi,sijui safari ndefu,etc ni mavi ukajumlisha na mavi!
 
Who believe in anything Jiwe is doing?

The dude’s bogus!

ATCL ni mtambo wa kutengeneza hasara,huo ndio ukweli mchungu sana!

Kalagabaho!
na sio ATCL pekee,,subiri tuombe tuwe na maisha maref ili tuje kushudia kilio cha mbwa mwizi
 
Hali inaendelea kuwa mbaya zaidi.

============
Kenya Airways to Earn Billions in Sale of 7 Aircraft
businessdailyafrica.com
Sep 20, 2019 11:44 AM
Kenya Airways chairman Michael Joseph

Kenya Airways chairman Michael Joseph. FILE PHOTO | NMG
Kenya Airways #ticker:KQ is selling seven planes and an engine in a multi-billion shilling deal that marks the carrier’s latest efforts to reduce its fleet in a bid to shore up its financial position.
The loss-making carrier has hired UK-based Air Partner to guide it in the planned sale of the six Boeing 787-8 Dreamliner planes, one Boeing B777-300 and a spare GE engine at a time when a shortage of pilots is forcing the airline to cancel flights and trim routes.

Kenya Airways (popularly known as KQ) will lease back the aircraft after selling them, according to contract documents between the airline and Air Partner seen by the Business Daily, signalling that it does not intend to see the plane sale hurt its routes.
“Kenya Airways is conducting a series of sale and leaseback transactions covering 6 x B787-8, B777-300 and GEnx spare engine,” said the contract document.

“KQ has requested Air Partner to conduct a desktop review addressing a series of questions around these sale and leaseback transactions.”
The Nairobi bourse listed airline had a fleet of 41 airplanes at the end of last year, comprising a mix of Boeing planes for long-haul and Bombardier and Embraer planes on its short and medium haul flights. Its rival Ethiopian Airlines operates more than 100 planes.
A new 787-8 Dreamliner goes for $206.8 million (Sh21.49 billion) according to a price guide by global aviation website Aircraft Compare.
Ageing fleet
KQ in 2011 signed a deal for the purchase of nine 787-8 Dreamliner planes with Boeing to replace its ageing fleet and expand routes and flight frequencies.
It received the first Dreamliner plane, which is famed for its fuel efficiency, in 2014.
A used General Electric (GE) aircraft engine is expected to fetch hundreds of millions of shillings, with the price of most new ones topping the Sh1 billion mark.
Kenya Airways declined to respond to three e-mails from the Business Daily over the plane sale.
Restructuring its fleet, including selling aircraft and sub-leasing to other airlines has been one of KQ’s focus areas in recent years as it seeks to return to profitability.
Its fleet size has been dropping since 2015 in a period that has seen Kenya Airways struggle to return to profitability after making steep losses in 2014, causing some of its engineers and pilots to seek greener pastures.
It had 52 airplanes in 2015 and the fleet dropped to 39 in 2017 before rising to 41 last year.
The airline has been forced to cancel dozens of flights due to a shortfall in the required pilot numbers.
Flight cancellations
In the first two weeks of last month, the airline suffered 91 flight cancellations, of which 68 flights or 74 percent were due to pilot shortage, its internal memo showed.
Kenya Airways said it will be forced to cancel more flights in the weeks ahead due to the shortages as it faces opposition from pilots union to hire 20 fliers on contract.
The national carrier had earlier in the year announced a plan to double its fleet over the next five years.
KQ is working on a process that will lead to its nationalisation, eyeing future success. Lawmakers voted to re-nationalise it in July.

Huu ni wakati wa kununua ndege kwa cash kutoka kwa waafrica wenzetu Magufuli fanya yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Midege mibovu inakula mawese kama nini, wakae nayo tu au wauze kama pile of scrap metal..
Huu ni wakati wa kununua ndege kwa cash kutoka kwa waafrica wenzetu Magufuli fanya yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kiukweli sio jambo la kufurahisha ila ni jambo la kutafakari na kujiuliza swali la kwann ,.. japo biashara huwa ina matokeo ya kupanda na kuporomoka ila KQ hawakustahili hili kuna vitu ndio vimepelekea hapo walipofikia lzm wakenya mtafakari...iweje rwandair kashirika hakana hata miaka 15 kana survive ktk biashara mliyoitawala kwa miaka mingi ktk ukanda huu leo hii rwandair wana pave the way
 
Wa tz bana..muulize yeye kaenda lini kumuonyesha hayoo mahaba live
Chuki yangu sio ya kishamba!

Ni ya kishamba kutokana na ubongo wako binafsi!

Which is okay maana una uhuru wa maoni!

Still unachosema ni maoni!

Hanijui,ila namchukia!

Namchukia yeye,watu wake,anavyofikiri,anachoongea,etc!

I just hate the nigga!

Usinipangie!

Jipangie mwenyewe!

Mpende wewe,unaruhusiwa!

Mimi usinipangie kabisa na sitaki ushauri wala maoni yako!
 
KQ keshanyolewa,ATCL tia maji zamu yako!

Na ATCL ndio kipigo kitakua kikali sana maana ATCL ni loss generation super machine!

Watch this space folks!
Eti Loss generation super machine. Kweli mnawashwa. Uzeni izo ndege tu mpate kulipa madeni yenu. Huenda mkauza ata Airport nyinyi 😀
 
Source:https://en.wikipedia.org/wiki/RwandAir
1569148510809.png

kiukweli sio jambo la kufurahisha ila ni jambo la kutafakari na kujiuliza swali la kwann ,.. japo biashara huwa ina matokeo ya kupanda na kuporomoka ila KQ hawakustahili hili kuna vitu ndio vimepelekea hapo walipofikia lzm wakenya mtafakari...iweje rwandair kashirika hakana hata miaka 15 kana survive ktk biashara mliyoitawala kwa miaka mingi ktk ukanda huu leo hii rwandair wana pave the way
 
Unauzaje gari la kukodi...tena baada ya kuliaza unaweka deal ya kulikodi tena kw huyo uliyemuuzia...

Kweli wewe ni chenga[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani shirika la KQ ni la Wakenya au ni wabia na wazungu, ambao ndio wanaoendesha na wanasiasa wanakula pesa za shirika. Wazungu wanauza Mali zao Kisha waondoke Kisha GOK wachukuwe ili serikali ikabidhi kwa wananchi kuongoza. Kama ilivyo kwa JPM ndege zote ni za serikali. Na ikabidhi kwa KQ na kuongoza na Wakenya na siyo Mzungu
 
Back
Top Bottom